Selfika na JF: Snap it. Show it

20210915_135417.jpg
 
Hi Lizzy.
Naomba roughly budget ya siku tano zenji,si kuna hoteli zisizozidi 50000 kwa siku?!
Natanguliza shukrani.
Hey...
Inategemeana na vitu unapenda/tamani kufanya. So tuanzie hapo.....

Unatamani kufanya nini na nini ukienda??? Unataka ule utalii wa jumla (kutembezwa sehemu zote popular Zanzibar) au kuzurura tu mwenyewe/na company yako binafsi???

Kuhusu accomodation...za around 50k ni Guest Houses so nothing fancy! But some of them are decent/comfortable enough....
 
Kila mtu ana haki ya kucomment anachotaka na comment anayotaka bila kujali inahusu Nini,
Huwezi nipangia mkuu.
Na kila mtu ana haki ya kujibu vile anavyotaka,usimlazimishe mtu comment ya siasa aweke picha au acheke au akae kimya.
Anaamua mwenyewe anachotaka kuandika.
Haupo sahihi na ndiyo maana hapa JF kuna majukwaa husika kwenye kila mada.Mfano kupeleka hoja za siasa kwenye majukwaa ya mapenzi siyo sahihi.Huwezi kupeleka hoja za siasa kwenye jukwaa la mapenzi kwa kisingizio kuwa una haki ya kucomment popote.
Kila mtu anahaki ya kumquote yeyote,kam hutaki mtu akuquote ni aidha usichangie ama umblock mtu.
Wapi nimesema kuwa sitaki kuquotiwa?Mimi kusema kuwa unapomquote mtu ni vyema uwe commited kujibu hoja zake ni kukataa kuquotiwa?
Pia si lazima mtu ajibu kila kitu alichojibiwa,,si watu wote wanaweza kufanya hiyo kazi ya kutafuta kujibu kila walipoquotiwa.
Sasa kama haupo commited kujibu pale unapomuanzishia mtu hoja kuna haja gani sasa ya kumsumbua mtu huyo kuandika vitu ambavyo utavipotezea na hatimae kupoteza muda wake katika kukujibu?
Na si watu wote wanapata notifications kwa wakati,huwezi ukawalazimisha kujibu bila kujali wamepata au hawajapata .
Hii hoja yako juu ya notification ina mashiko.Huko juu kwenye ile hoja ulipaswa kujibu tu kwa kifupi kuwa hukupata notifications.
Ukiona mtu anakupotezea Muda acha usimjibu,
Nitaachaje kumjibu alichoniuliza wakati sijui kama atanipotezea?
Huwezi ukamlaumu mtu anakupotezea Muda wakati wewe mwenyewe kwa hiari na mikono yako na simu yako umeamua kureply.
Kwani ninaporeply najua kuwa hatanijibu hadi niache kureply?
Huwezi mpangia mtu asirudie kupost kitu,huo Uhuru wa kumkataza mtu asirudie kupost kitu hauna mkuu..
Uhuru huo ninao kwa sababu kama uliniuliza kitu hichohicho kwenye jukwaa la siasa kisha nikakujibu vizuri sana halafu ukanipotezea bila kujibu halafu ukaja tena kuniuliza kitu hichohicho tena kwenye jukwaa la picha huoni kuwa nina haki ya kukukataza kuwa usirudie kuniuliza kitu ambacho nimeshakujibu kwa kuwa unapoteza muda wangu katika kujibu kitu hichohicho zaidi ya mara moja?
na ndiyo maana mtu anaweza post picha ile ile hata Mara 2 na huna Cha kumfanya kwa sababu ni hiari yake wala huwezi kumpangia.
Ndiyo,picha unaweza kupost hata mara elfu moja lakini hoja yangu ni pale unaponiquote ili nikujibu kitu ambacho tayari nilishakujibu na ukanipotezea.Hapa ndipo kupangiwa kunapokuja na ninakuwa na haki ya kukupangia.
 
Haupo sahihi na ndiyo maana hapa JF kuna majukwaa husika kwenye kila mada.Mfano kupeleka hoja za siasa kwenye majukwaa ya mapenzi siyo sahihi.Huwezi kupeleka hoja za siasa kwenye jukwaa la mapenzi kwa kisingizio kuwa una haki ya kucomment popote.

Wapi nimesema kuwa sitaki kuquotiwa?Mimi kusema kuwa unapomquote mtu ni vyema uwe commited kujibu hoja zake ni kukataa kuquotiwa?

Sasa kama haupo commited kujibu pale unapomuanzishia mtu hoja kuna haja gani sasa ya kumsumbua mtu huyo kuandika vitu ambavyo utavipotezea na hatimae kupoteza muda wake katika kukujibu?

Hii hoja yako juu ya notification ina mashiko.Huko juu kwenye ile hoja ulipaswa kujibu tu kwa kifupi kuwa hukupata notifications.

Nitaachaje kumjibu alichoniuliza wakati sijui kama atanipotezea?

Kwani ninaporeply najua kuwa hatanijibu hadi niache kureply?

Uhuru huo ninao kwa sababu kama uliniuliza kitu hichohicho kwenye jukwaa la siasa kisha nikakujibu vizuri sana halafu ukanipotezea bila kujibu halafu ukaja tena kuniuliza kitu hichohicho tena kwenye jukwaa la picha huoni kuwa nina haki ya kukukataza kuwa usirudie kuniuliza kitu ambacho nimeshakujibu kwa kuwa unapoteza muda wangu katika kujibu kitu hichohicho zaidi ya mara moja?

Ndiyo,picha unaweza kupost hata mara elfu moja lakini hoja yangu ni pale unaponiquote ili nikujibu kitu ambacho tayari nilishakujibu na ukanipotezea.Hapa ndipo kupangiwa kunapokuja na ninakuwa na haki ya kukupangia.

Kama kuhamisha hoja za majukwaa mengine kupeleka kwenye jukwaa jingine Ni makosa basi mkosaji wa kwanza ni wewe kwa kuleta hoja zako selfika za kupigwa ban ambazo ni za siasa.

Narudia tena kusema siyo lazima mtu akujibu kila kitu,
Siyo lazima mkuu...kwahiyo unapoandika kitu jua tu kuwa mtu anaweza kujibu au kutokujibu.
Kama wewe unajibu kila kitu basi usilazimishe wote wafanye hivyo...ni hiari yao.

Kwahiyo ukiona mtu anakusumbua kwa kutokujibu unaachana naye tu,hakuna ulipolazimishwa upoteze Muda kumjibu.
Kama umejitoa mwemyewe kujibu basi usitupe lawama kwa watu kwamba wanakupotezea muda.
Haujashikiwa fimbo na kulazimishwa kujibu.

Huwezi nipangia chochote mkuu na siku zote ninaandika kile ninachotaka.
Labda wapangie wengine Cha kuandika..au jf ingekuwa yako labda ungetupangia Cha kuandika.

Kama kitu kimeandikwa na unaona ni kero kwako ama kinakupotezea muda mbona rahisi tu mkuu,unaki ignore au unakiacha bila kujibu.
Na kama unashindwa kuvumilia basi waweza kumblock tu mtu ili usione kabisa..ni rahisi tu.
Ila huwezi nipangia Cha kuandika na huwezi nipangia niandike mara ngapi na huwezi nilazimisha nijibu kila kitu ama nisome notifications ya Lila kitu.. huwezi miforce popote mkuu.
Hayo maamuzi ni Yangu.
 
Sijawahi kuleta hoja ya siasa hapa selfika.Mimi nilitoa taarifa kwa wana selfika kuwa ban yangu ya siku saba imeisha na nikaweka nukta baada ya sentensi hiyo.Kwenye taarifa yangu ya msingi wala sikutoa sababu ya kupigwa ban.Nilikuja kutoa sababu ya kupigwa ban pale nilipoulizwa na memba wa selfika nitoe sababu ya ban hiyo na kimsingi hoja ilipaswa iishie hapo.

Kama ni hiari yako kujibu hoja pale unapouliza kitu kinachoibua hoja ambayo unatakiwa kuijibu basi usiwe unaniquote ili kuniondolea usumbufu kureply hoja ambazo huenda hazitajibiwa.

Kuibua hoja ambazo haupo tayari kuzijibu haimake sense na ni usumbufu kwa uliemquote.Ni vyema kama unajua kuwa haupo tayari kujibu hoja basi uache kumquote mtu husika.

Kama unanitengenezea usumbufu kwa kuquote hoja zangu wakati haupo tayari kuingia kwenye mjadala wa kujadili mada husika nina haki ya kukumbia kuwa usiwe unaquote ninayoandika au usiwe unaquote nililoandika kama tayari nimeshalijibu.

Hakuna sehemu niliyosema kuwa naona kero kwa mtu kuandika mambo yake huku JF.
 
Hiyo sababu uliyoitoa inahusu siasa tayari ni siasa mkuu.

Narudi palepale nina haki ya kumquote yeyote.
Ukitaka nisiququote niblock mkuu,vinginevyo huwezi nipangia nijibu au nisijibu.

Kuingia au kutokuingia kwenye mjadala ni hiari.
Narudia tena,ukiona unajisikia usumbufu niblock.

Basi kama huoni kero basi usinipangie Cha kuandika eti sijui unachanganya siasa na selfika,ni Mimi nimeamua..kausha mkuu,usijilalamishe kwamba unapotezewa muda wakati umeamua mwenyewe kwa hiari yako kusoma na kureply.
 
Hiyo sababu uliyoitoa inahusu siasa tayari ni siasa mkuu.Nik

Narudi palepale nina haki ya kumquote yeyote.
Ukitaka nisiququote niblock mkuu,vinginevyo huwezi nipangia nijibu au nisijibu.

Kuingia au kutokuingia kwenye mjadala ni hiari.
Narudia tena,ukiona unajisikia usumbufu niblock.

Basi kama huoni kero basi usinipangie Cha kuandika eti sijui unachanganya siasa na selfika,ni Mimi nimeamua..kausha mkuu,usijilalamishe kwamba unapotezewa muda wakati umeamua mwenyewe kwa hiari yako kusoma na kureply.
Nikitaka usiniquote nikublock?Ni block ipi hiyo ambayo huwa inamzuia mtu asiweze kuquote hoja ya aliemblock?
 
Hiyohiyo mkuu
Inapunguza usumbufu maana hautaniquote itakuonyesha ume ni ignore.
Labda uwe na msukumo wako mwingine kwenda mbali na kufungua nini kimeandikwa.

Fanya mambo yasiwe mengi,niblock tu.
Hutaona Wala sitasoma quotes zako.
 
Kwahiyo unadhani Mshana anaongea na upepo hapo??
Alikuwa anatuambia sisi tuache.

Kwahiyo kama wewe hutajaka kumjibu usitake na mimi nisimjibu.
Unamtaja Mshana ambae hata humuheshimu.Ungekuwa unamuheshimu ungekaa kimya kwa kuwa alishaomba haya mazungumzo yaishe.

#Lunatics
 
Back
Top Bottom