Selfika na JF: Snap it. Show it

20210914_193525.jpg
 
Halafu unachofanya ni kuleta fujo kwa sababu uliwahi kuleta hoja hii kwenye majukwaa husika tarehe 06/09/2021 nikakujibu ukashindwa kujenga hoja na ukaingia mitini bila ya kujibu chochote halafu leo unaleta hoja hiyohiyo kwenye jukwaa ambalo halihusiki!Hizi ni fujo.
View attachment 1937403
Hakuna sehemu nimeleta fujo,labda kama wewe umezitafsiri kama fujo.

Siyo muda wote nitafwatilia uzi mmoja mkuu,,kuna nyuzi nyingi zinajifukia navkujifukia..
Kutokujibu haimaanishi mtu ameshindwa.

Na kurudia kuandika ni uamuzi wa mtu, huwezi mpangia cha kuandika.
 
Hakuna sehemu nimeleta fujo,labda kama wewe umezitafsiri kama fujo.
Kutafuta michango ya mada za siasa na kupeleka hoja za siasa kwenye mada ambazo siyo za siasa ni kuleta fujo.
Siyo muda wote nitafwatilia uzi mmoja mkuu,,kuna nyuzi nyingi zinajifukia navkujifukia..
Kutokujibu haimaanishi mtu ameshindwa.
Kwani hupati notifications?Unapomquote mtu kwenye uzi fulani ni vyema ukawa committed kujibu hoja zake,tofauti na hapo unakuwa unampotezea muda wake kujibu hoja ambazo hazijibiwi.
Na kurudia kuandika ni uamuzi wa mtu, huwezi mpangia cha kuandika.
Unapangiwa cha kuandika kwa sababu unarudia kuandika hoja za siasa kwenye nyuzi ambazo siyo za siasa na ukijibiwa hoja hizo kwenye mada za siasa hujibu.Kwenye mazingira kama haya ni lazima upangiwe utaratibu wa jinsi ya kuandika na jinsi ya kujibu hoja.
 
Kutafuta michango ya mada za siasa na kupeleka hoja za siasa kwenye mada ambazo siyo za siasa ni kuleta fujo.

Kwani hupati notifications?Unapomquote mtu kwenye uzi fulani ni vyema ukawa committed kujibu hoja zake,tofauti na hapo unakuwa unampotezea muda wake kujibu hoja ambazo hazijibiwi.

Unapangiwa cha kuandika kwa sababu unarudia kuandika hoja za siasa kwenye nyuzi ambazo siyo za siasa na ukijibiwa hoja hizo kwenye mada za siasa hujibu.Kwenye mazingira kama haya ni lazima upangiwe utaratibu wa jinsi ya kuandika na jinsi ya kujibu hoja.
Kila mtu ana haki ya kucomment anachotaka na comment anayotaka bila kujali inahusu Nini,
Huwezi nipangia mkuu.
Na kila mtu ana haki ya kujibu vile anavyotaka,usimlazimishe mtu comment ya siasa aweke picha au acheke au akae kimya.
Anaamua mwenyewe anachotaka kuandika.

Kila mtu anahaki ya kumquote yeyote,kam hutaki mtu akuquote ni aidha usichangie ama umblock mtu.

Pia si lazima mtu ajibu kila kitu alichojibiwa,,si watu wote wanaweza kufanya hiyo kazi ya kutafuta kujibu kila walipoquotiwa.
Na si watu wote wanapata notifications kwa wakati,huwezi ukawalazimisha kujibu bila kujali wamepata au hawajapata .
Ukiona mtu anakupotezea Muda acha usimjibu,
Huwezi ukamlaumu mtu anakupotezea Muda wakati wewe mwenyewe kwa hiari na mikono yako na simu yako umeamua kureply.

Huwezi mpangia mtu asirudie kupost kitu,huo Uhuru wa kumkataza mtu asirudie kupost kitu hauna mkuu..na ndiyo maana mtu anaweza post picha ile ile hata Mara 2 na huna Cha kumfanya kwa sababu ni hiari yake wala huwezi kumpangia.
 
112 Reactions
Reply
Back
Top Bottom