Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani hauwezi amini eti hata B Mkapa sijafika na karibu kila siku nilikuwa napanda daladala za huko! Ila nashukia either bank (nikiwa naenda utawala) au informatics sijawahi kuendelea zaidi ya pale ila kule social nimezururamo kidogo!
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja nenda Mkapa kutalii..unapitiliza hadi tibani mbele kidogo ya Mkapa.
Kumetulia sana.. porini kwanza ni tofauti na huko social na bondeni.
 
Yeah, tayari. Haya masindano ya tetanus siyapendi aisee.

Sasa hivi bega lote linauma balaa.

But guess what though? I see $$$$....nshawasiliana na lawyer.

Mbwa ni wa jirani. Hakuwa kwenye leash.

Community subdivision guidelines zinataka mbwa wote wawe kwenye leash wakiwa nje.

I’m about to get paaaaaaid 😁
Hahaaa safiii.,
africa ndo mana wakiona mbwa they pick stones.,nobody paying nothing
 
Wimbo kwa Mke Mwema
10Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?
Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
12Humtendea mema wala si mabaya,
Siku zote za maisha yake.
13Hutafuta sufu na kitani;
Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14Afanana na merikebu za biashara;
Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku;
Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;
Na wajakazi wake sehemu zao.
16Huangalia shamba, akalinunua;
Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;
Hutia mikono yake nguvu.
18Huona kama bidhaa yake ina faida;
Taa yake haizimiki usiku.
19Hutia mikono yake katika kusokota;
Na mikono yake huishika pia.
20Huwakunjulia maskini mikono yake;
Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;
Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22Hujifanyia mazulia ya urembo;
Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni;
Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24Hufanya nguo za kitani na kuziuza;
Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake;
Anaucheka wakati ujao.
26Hufumbua kinywa chake kwa hekima,
Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;
Wala hali chakula cha uvivu.
28 Wanawe huondoka na kumwita heri;
Mumewe naye humsifu, na kusema,
29Binti za watu wengi wamefanya mema,
Lakini wewe umewapita wote.
30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili;
Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
31Mpe mapato ya mikono yake,
Na matendo yake yamsifu malangoni
 
Hahaaa mbona colleges nyingi tu sizijui mkuu nazijua baadhi tu? Trust me UDOM huwa naendaga tu kuzurura nikiwa Dodoma ila sijawahi kusoma huko!
halafu zoe nilikua namchukulia kama sista duu fulani hivi na minato ya mwendokasi....huyu karma namuona kama mtu social,peace hana noma na mtu



aisee kumbe ni mtu mmoja

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_1613131008960.jpg
 
Back
Top Bottom