Selfika na JF: Snap it. Show it

Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia , na Watoto , Ndugu Doroth Gwajima amepiga Marufuku Neno Kibamia linalotumiwa sana na Wanawake katika kuwadhalilisha Wanaume hasa wakiachana.
"Kuna tabia imeibuka siku za karibuni na imeendelea kuota mizizi unakuta dada akiwachana tu na aliyekuwa mpenzi wake basi silaha ni kumtangaza kwamba ana 'kibamia' huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji wa kijinsia na wanaume wengi wameharibiwa saikolojia kwa kutamkiwa neno hili 'kibamia' hivyo ni marufuku neno hili kutumika kwenye jamii na mwanaume akidhalilishwa kwa kutamkiwa neno hili akaripoti kituo cha Polisi adhabu ni faini ya kulipwa laki tano au mtenda kosa aende jela miezi sita au vyote kwa pamoja." Waziri Doroth Gwajima.
.
SHARE
Hatimaye Wanaume tuliokuwa tunadhalilishwa na akina Dada tumepata mtetezi, Mungu atupe nini tena

Sasa nitatembea kifua mbele, ole wao akina Minnah, Sarah, Linnah waniite Kiba100 tena, miezi 6 Jela itawahusu
IMG-20210125-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom