Selfika na JF: Snap it. Show it

Unautetea sana huu uzi.
Nami nasema ufutwe tu...
Ah hapana kwa kweli huu uzi naupenda sana
Haiwezekani mtu anatoka huko anasema eti ufutwe kwa sababu za kijinga tu

Halafu wengi mnaotaka huu uzi ufutwe ni wale waumini wa ule uzi wa Umewahi kula tunda kimasihara
Wivu tu unawasumbua ndiyo maana uzi wenu uliunganishwa hamna hata vya maana mnavyoandika mule utopolo tu

JF nyuzi za kudumu za maana ni
Selfika
Kupeana likes
Road trips
Usiku wa manane
Vituko mitandaoni
Makapuku
Angalau na zile special threads za timu za mipira

Huo wa kwenu hauna lolote bora hata ule wa Wa mwisho ndiyo mshindi
 
Bila kusahau uzi wa vyakula.

Hiyo ya kula tunda kimasihara ni ujinga tu
 
Eh eh jamani kama mmeamua kupambana na huyo mtoto basi pambaneni naye kivyenu msimhusishe na huu uzi

Huu uzi tuko nao humu tangu mwaka juzi tena hata kabla yeye hajajiunga JF na hakujawahi kuwa na shida

Mtu anatoka huko alikotoka kashashiba zake mmea uzi kaujua juzi anakuja kuropoka humu eti huu uzi ufutwe wtf

Wengine tunafahamu status ya huyo mtoto tangu muda mrefu na wapo waliojaribu kuongea naye ila imeshindikana

Wengine mmemfahamu juzi tu mnataka kuanza kelele eti tumemlea ninyi mnajua ni watu wangapi wamemkanya humu

Wameshindwa kumbadilisha wanaoonana naye kila siku ndiyo mtaweza kumbadilisha ninyi mnaobwata nyuma ya keyboard
Hongera mommy tena uwaambie, wapambane na mie binafsi, uzi hauuhusu chochote, halafu mbona forum ina sett ya ignore na block au hawajui matumizi yake?

Kwa maelezo haya, vipi unataka nikupe zawadi gani? Hakika Elimu na Exposure kwako vinafanya kazi ipasavyo.
 
Ah hapana kwa kweli huu uzi naupenda sana
Haiwezekani mtu anatoka huko anasema eti ufutwe kwa sababu za kijinga tu

Halafu wengi mnaotaka huu uzi ufutwe ni wale waumini wa ule uzi wa Umewahi kula tunda kimasihara
Wivu tu unawasumbua ndiyo maana uzi wenu uliunganishwa hamna hata vya maana mnavyoandika mule utopolo tu

JF nyuzi za kudumu za maana ni
Selfika
Kupeana likes
Road trips
Usiku wa manane
Vituko mitandaoni
Makapuku
Angalau na zile special threads za timu za mipira

Huo wa kwenu hauna lolote bora hata ule wa Wa mwisho ndiyo mshindi
Karma
 
IMG_20210119_141923.jpg
 
Huu uzi sasa hivi unanuka, nasema ufutwe.

Kutoka kuwa uzi wa kujimwambafy hadi ushga😂😂
Mbaya zaidi mnaendelea kucheka nae👆😂
 
Back
Top Bottom