Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa km unakemea hilo na adhabu zake unazijua ni wazi ukaanza kutekeleza kwa vitendo, sio maneno tupu km serikali ya Tz inapinga kwa mdomo huku vitendo ni .

Mbona wapo wengi wanaojitangaza wazi wazi na sijawahi ona wakipewa hizo adhabu. Au mie ndio sielew?

Mf, James Delicious anajiweka wazi wazi na alishatoa maudhui ya hilo suala hadharani, kilichofuata kukamatwa na kuwekwa rumande siku 3 katoka nje yupo uraiani anaendelea na maisha yake,

Akaweka tena maudhui hadharan, akaamriwa fine 5Ml zikatolewa case kwisha, sasa hizo adhabu unazozisema wee kutoka wapi? Km kutoka ktk vitabu vya dini mbona sijawahi ona dini au dhehebu lolote kuwahi kutekeleza hizo adhabu, ingali wapo wanao onesha wazi wazi suala hili hadharani.

Ni muda sasa jamii iwe buzzy na mambo ya msingi na yenye tija ktk kuleta maendeleo ya Taifa kwa ujumla, na sio kuwa buzzy kupinga suala la rasilimali ya mtu binafsi, tena ikiwa hawawezi kutatua tatizo hilo kamwe, ni upotevu wa muda.

Live ur own lyf, n mynd ur own bznes.

Tunaishi mara 1 tyuuh..........
sawa dogo kila mtu aishi maisha yake Ila unayo nafasi ya kubadilika Kama case yako haihusiani na hormonal imbalances Ila Kama umejifunza tu tafadhari dogo badilika muombe na mungu pia na usione ufahari Sana Labda ungekua nchi za mabeberu huku afrika hio haikubaliki katika utamaduni wetu
 
Usibadilike acha vijana wale tope, fanya unavyojisikia unaona kwako ni raha
 
sawa dogo kila mtu aishi maisha yake Ila unayo nafasi ya kubadilika Kama case yako haihusiani na hormonal imbalances Ila Kama umejifunza tu tafadhari dogo badilika muombe na mungu pia na usione ufahari Sana Labda ungekua nchi za mabeberu huku afrika hio haikubaliki katika utamaduni wetu
Hoja ya mabadiliko kwangu kuhusu suala hili halifanywi kwa ushauri wa mtu wa nje, maamuzi ya mabadiliko yatafanywa na mie mwenyewe binafsi km nikitaka.

Kuhusu case ya hormonal imbalances hili hupaswi kujua km ndo iko hivyo au lah,

Umechagiza na DINI kidogo hapo hivi huyo Mungu mnafundisha nyie kazi? Na km mnajua adhabu anatoa Mungu mbona mko mnahaha na mie, nasubiri hukumu kutoka kwake yeye, sio kelele na mahubiri kutoka kwa mwanadamu ambaye naye ana madhaifu mapungufu na dhambi zake.

Utamaduni upi huo wa Afrika unaouzungumzia? Mbona siuoni kabisa? Huu wa kuvaa nguo za kubana na zisizo na staha? Kuweka picha za uchi hadharani? Kutazama video za ngono? Kunyoa viduku? hebu acheni unafiki khaaah,

Dunia saivi imeshakua sayansi na teknolojia, na ujue hizi ni zama za digitali, sio analojia. Ndio maana halisi ya utandawazi.

Nakupa muongozo, ishi maisha yako binafsi, maisha ya mtu mwingine hayakuhusu.

Relaaaaaaaax.
 
Ni sawa nasubiri kunyooshwa na huyo Mungu mwenyewe muweza wa yote, mie ni binadamu sijakamilika huwa nakosea hata ikiwa nje ya LGBT ni mkosefu pia, na kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.

Sijakataa kuambiwa ukweli pale napokosea wala sidhani km naogopwa ndani ya hii forum, maan hata mie mwenyewe hakna ninaye muogopa.

Nafuata misingi na taratibu zote za hii forum, na sijawahi kukiuka, km ningekua navuka mipaka basi mamlaka husika inge deal na mie ipasavyo, kulingana na kosa lenyewe.

Na kuhusu hili la picha za jana hujui chanzo ni kipi, labda ungeuliza vizuri ueleweshwe, mie n mstaarabu san najua mipaka ya mawasiliano, kuna muda personal attacks zinakuja kwangu na matusi, kejeli na maneno yasiyofaa, huwa najibu kwa hekima tyuuh japo ninayemjibu lazima akwazike.

Kuhusu malezi na misingi ya dini, ni sawa nilikua napoteza muda, sidhani kwa hilo km kwako ni tatizo. Hakuna mwanadamu yeyote aliyekuwa mkamilifu, na hakuna jipya chini ya jua. Pia vitu na viumbe wote wema na wabaya wote ni wa Mungu, maana viliumbwa na yeye.

Hivyo niseme kila mtu ana uhuru wa kuishi vile anavotaka, pasipo kukiuka kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.
Kila mtu ana Uhuru lakini siyo kutuwekea picha za kuchefua.
Sina haja ya kuuliza zimetokea wapi as long as zinakera lazima tuseme.

Wewe endelea tu, MUNGU atakunyoosha tu ..km alinyosha Kijiji chote Cha sodoma na gomora ni Kazi ndogo Sana kukunyoosha.
 
Uko sawa kabisa kulingana mtazamo au maono yako, km Mungu ataninyoosha ni yeye mwenyewe ndo mtoa hukumu wala sitakua na pingamizi kwake juu ya hilo.

Sasa km hutak kuuliza au kujua zimetoka wapi na kwanini ziliwekwa kwa kua zinakuchefua au kukera, ni rahisi sana ungesema tyuuh "cocastic hizo picha ulizoweka sio nzuri au hazipendezi naomba zitoe" wala hakukua na tatizo mbona.

Lakini kupinga au kutoa hoja za kun attack ndo palipokua na mushkeli.

Samahani sana kwa hili, huwa sipendi kukwazika na mie kumkwaza mtu.
 
Nogewa jirambe
20210118_121519.jpg
 
Mbona umeambiwa utoe au ulitaka tukuambie vipi?
 
Back
Top Bottom