ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,511
- 89,577
Utajua ukiufikia, enjoy ujanani douta. Leo nimeshindwa kutoka kisa kiuno, kesho hata sijui itakuwaje
Uzee una nini tena dad

Kisa kiuno cha mama au
ExactlyYeah kuzuri sana
Baridi kule juu lipo muda wote kuna siku tulikuwa tunaenda Chunya kuna sehemu barabara inapita juu kabisa ya milima
Sasa yale mawingu ya mvua yanakuwa yako chini chini sana yanashuka hadi Barabarani basi hilo baridi lake na ukungu sasa
Ila the best of all ni ile scenery aisee
Hamna, kisa huu uzee. Uzee tabu sana yani.
Hahaha kwa sasa mimi siyo mkazi wa mbeya mkuu ila ni kwetuExactly
Nikaribishe twende tukatalii wote jirani, natamani kurudi tena kule
weka mzgo nna 20 hapa ya uniform ya mtotoTupinge
Basi nitaomba niwe sababu ya kukupeleka tena😀😀Hahaha kwa sasa mimi siyo mkazi wa mbeya mkuu ila ni kwetu
Nimewahi kuishi na huwa naenda mara moja moja sana kukiwa na ishu ya kunipeleka