nlifika poa beste Ila now nko njian to ruvuma amsha popoNinalo baaasiii.nipo nasikia viungo vyote vinauma.pole na hongera kwa kufika salama
Ni wewe kabisa huyo.Inaonekana sio mimi huyu
Kawasalimie huko home, wakunyumba.nambie beste wangu on way now usiku huu to ruvuma
Teh tehWenye vitambi vyetu huu ndio mlo tunatakiwa tule
Na hiyo picha ya pili nadhani limebaki LACK
Thanks mkuu nimesongaNafikiri hapo jaribu YELL na JELL
JELLY imegoma sababu hapo inakutaka uandike maneno mawili yenye herufi nne nne maana vibox viko vinne vinne na JELLY lina herufi tano
Wataalam wa "map reading" wanakuja
Imetokea ghafla au uliipanga hii babanlifika poa beste Ila now nko njian to ruvuma amsha popo
Ankal..wachina ndo washa anza mambo yao nini
I’m here ankal...missed you tooAnkol you are missed