Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzee baba niaje..! Aisee kwanza ulifanya vyema sana na ni jambo la kistarabu sana kutomla mke wa mtu. Haya mambo bhana unaweza ukafurahia kutafuna mke wa mtu ila huwazii kama ungekuwa ni wewe mkeo analiwa ingekuwaje ??
Juzi kati nilikuwa nachati na manzi yuko kwenye mahusiano na mwana mmoja na tayari walishaanza kufanya zile procedures za kukabidhiwa mke. Manzi nilimkaza ila nimekuja kukaa nikawaza kabisa huu ni ujinga ambao sitakiwi kuufanya maana kugongewa kunauma sana Braza.!
Nimepunguza mawasiliano naye na baadae naacha kabisa kuwasikiana naye labda kwa jambo la msingi sana tofauti na hapo sitaki ukaribu na mke wa mtu.
Alfu swali ambalo kama atalijibu ndada itapendeza sana, hivi inakuwaje mpaka unaenda kuingia kwenye hatua kufunga ndoa bado unaendeleza ukaribu na mtu ambaye unajua wazi kabisa mtakapo ishia ni kulana na pengine inaweza kuharibu ndoa yako mbeleni..!??? Kuba kuwapo nini hasa ??
Kama unampenda mwana yule mwingine si unakuwa open tu na hata ndoa isifungwe..! Na ukafunga ndoa na mtu ambaye unaweza kuwa katika ndoa na ukawa pamoja strong connection.
@Makasie
financial services na wadada wengine ..! Nitafurahi kusikia chochote kutoka kwenu.
@Makiseo unaitwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20201129-165930.jpg
 
Back
Top Bottom