Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado nitamfuata tena na kumuongezea mshiko mwingine ahakikishe anakutrack kila unapofungua id mpya anakupiga ban halafu anaiacha hii tu

Lol itabidi tumtafute member unayemkubali sana humu (kama hajapigwa ban) atusaidie kukubembeleza labda utakubali sisi tumeshindwa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtafute, yule akiniambia walah jina linarudi.
 
Tuchati kwa picha


Nangoja mtanange wa LIVERPOOL NA NYUMBU
IMG_20200119_190646.jpeg
 
Back
Top Bottom