Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah sema Mkuu kila mtu anajinsi anavyochukulia tatizo likimpata.. I'm not a saint or Jesus Cousin.. But Napenda tuwe tunatumia wema zaidi.. unajua jesus nae alikua binaadam so inawezekana pale u binaadamu uli outgrow uungu wake..ndio mana akatumia Nguvu!
Nimekupata kamanda. Hatuwezi kufanana. Na katika utofauti wetu ndimo mna maana halisi ya maisha kama yanavyoishika katika kasayari haka kazuri tulikopewa tukaharibu. Tutakwenda kufanana mbinguni/jehanamu
 

Si ninasoma visa na mikasa yenu kila siku humu nabaki tu hiiiiiiiiii!! Nikimuona shemeji yako anaingia jf nitalia walah, unless awe EMT hapo nitamuelewa.

Kwema kabisa mdogo wangu, mzima weye?
Jamani. Mi 65+ kweli unanipachika udogo wako. Siyo kwamba unipe ukaka mkubwa na shikamoo juu tena huku ukiwa umepiga goti chini kama mabinti wa Kisukuma?

Tuvumilieni tu; na kama ilivyo mtaani, wote humu si mafurushi/mambwa
 
Back
Top Bottom