Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
Za mtotoHizo popcorn za sukari ni zako mkuu?
Za mtotoHizo popcorn za sukari ni zako mkuu?
Niletee banaNjoo uchukue
😂😂😂😂Donti woreeDuuh nimegundua wanaume wengi hizo shingo ndiyo ugonjwa wenu,, by the way huyo siyo mimi mkuu..(najua hakuna uliposema kuwa ni mimi)
Sababu nishaonja faida ya kufanya maombi muda huoNaona umeguswa
AimennnSababu nishaonja faida ya kufanya maombi muda huo
Nasubiria kuona sotojo la kilozi litalotoka hapoBachelor sugu kazini... Njaa ikikaza utatafuta namnaView attachment 1245300View attachment 1245301
Raba zipo zunakusubiriNakuzoom tuu jamani
Raba zangu jamani
😋😋😋Lunch timeView attachment 1245404
Nyamaa ya mooh moohPishi gani hili
Kama sio wewe Basi atakuwa ni yeye.siyo mimi huyo mkuu
Halafu kumbe ndugu yangu kabisa. Maana kama sio wa Tukuyu basi ni Kyela.Ena nkamu
Haya bana ngoja tusubirie
Nanii kaenda wapii.. (hope unajua nachomaanisha)Bachelor sugu kazini... Njaa ikikaza utatafuta namnaView attachment 1245300View attachment 1245301