Selfika na JF: Snap it. Show it

Shimba Ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
147,135
2,000
Ila kuna faida nyingi kuzaliwa mwanaume. Sabuni moja inatosha kwa nywele, uso na mwili. Na ngozi iko sawa tu...

Nilibahatika kuingia kwenye bafu la binti mmoja hivi uwii! Makorokocho ya nywele yana sehemu yake. Scrubs na lotion za uso zina kapu lake. Body wash nazo zimekaa pembeni huko. Bado faundesheni za kila aina. Kuna ishu za kucha....hekaheka yaani
20220113_104511.jpg
 
Shimba Ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
147,135
2,000
Afu sikuhizi bize sana SYB! Habari za weekend mkuu!
Habari nzuri. Yeah! Baada ya kipigo cha Covid kidogo kazi zimerundikana...na zina deadline. Hapa penyewe nipo nimejifungia mahali porini huku napambana nazo. Ni lazima nizimalize on-time kwa sababu nisipofanya hivyo mwenye nazo atakula hasara kubwa sana!

Thanks Boss Lady
20220114_134005.jpg
 
mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
25,231

View attachment 2081492
Ahaa kumbe! Pole sana namajukumu ya kazi mkuu take time umalize kazi asee!!
 
Shimba Ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
147,135
2,000
Ahaa kumbe! Pole sana namajukumu ya kazi mkuu take time umalize kazi asee!!
Asante Boss lady. Sijawahi kumiss deadline na naaminika sana. Japo ni makazi magumu lakini nshayazoea. Hii siku mbili tu namaliza japo deadline ni tarehe 20. Huwa napenda kuwapa mapema ili kama kuna marekebisho yanahitajika waseme. Kazi za wazungu inabidi uwe proper vinginevyo hamtaelewana!
 
mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
25,231
2,000
Asante Boss lady. Sijawahi kumiss deadline na naaminika sana. Japo ni makazi magumu lakini nshayazoea. Hii siku mbili tu namaliza japo deadline ni tarehe 20. Huwa napenda kuwapa mapema ili kama kuna marekebisho yanahitajika waseme. Kazi za wazungu inabidi uwe proper vinginevyo hamtaelewana!
Mungu awe nawe katika kazi zako rafiki! 🙏
 
Shimba Ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
147,135
2,000
Fathers, be your daughter’s first love and she’ll never settle for anything less."
Yeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....

Kwa msaada wa Mungu I hope that I have raised a strong woman who, though gentle and humble, knows her worth and her place in this tumultuous world

20220102_151224.jpg
20220102_151214.jpg
20220102_151158.jpg
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
25,077
2,000
Wow. You are her blessing....
Yeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....

Kwa msaada wa Mungu I hope that I have raised a strong woman who, though gentle and humble, knows her worth and her place in this world

View attachment 2081510 View attachment 2081513 View attachment 2081515
 
Tinsley

JF-Expert Member
Nov 16, 2020
912
1,000

Wow hongera ...
You guys have a solid relationship between a father and a daughter , keep up the good work .
" The value of a loving father has no price."
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom