Self driving vehicles are operating on the US roads

Daktari wa Manchester

JF-Expert Member
Jun 1, 2020
350
401
Habari za mda huu..
na
tumaini wote wazima

Kampuni la magari yanayojiendesha marekani(Automatic vehicles) NURO ambalo lilianjishwa California mwaka 2016 limepiga hatua katika kutengeneza automatic self driving vehicles ambazo hizo vehicles zitatumika


Nuro_company_logo.png
katika delivery services (grocery deliveries na food deliveries)

Katika hatua hiyo kampuni Hilo la NURO limefanya majaribio katika mji wa Arizona state

Pia gari lao lapili ambalo ni automatic ambalo linitwa R2 ni ladesign Yako ambapo halina steering wheel,side view

Kama ilivyo hapa Tanzania 🇹🇿 kwa kampuni la piki linayofanya delivery ila nahisi ni kwa wakazi wa dar es salaam kwa kutumia magari ila kwa wenzetu kule wametupiga gape na kuingia katika automatic self driving vehicles

Kwa Sasa kampuni Hilo linapokea vibali kutoka idara ya usafirishaji Ili liwe linafanya kazi maeneo mbalimbali katika Jimbo la California marekani

Ikumbukwe pia kampuni Hilo limeanzishwa na mainjinia kutoka kampuni ya google
Self-driving delivery vehicles are operating on the U.S. roads

The startup, called Nuro, was founded by two former Google engineers in 2016. It is an autonomous grocery delivery system that was fully designed and tested in Arizona in just two years.

And now the company is receiving all the necessary permits from the Department of Transportation for mass use in several California counties.

The service will start with Toyota Priuses converted into autonomous vehicles, and later the company will switch to the R2 robot cars that are shown in the video.

images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom