Mshua's
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 801
- 546
Jafo bado mdogo ki umri kuwa PM! U PM unawafaa watu wenye umri mkubwa kidogo angalau kuanzia miaka 50 na kuendelea.
Ukishatumikia cheo cha PM, nafasi inayokufaa baada ya hapo ni Urais au makamu wa rais.
Nikiangalia umri wa SJ bado hajapata mikutuo mingi kwenye utumishi wake na anasafari ndefu ya kuitumikia nchi hii.
Waendelee kumpa uzoefu kwa kuongoza wizara mbalimbali ili apate changamoto zitakazo muimarisha kushika nafasi ya u PM kama wanataka awe PM hapo baadae.
PM wa sasa bado anafaa kutumikia nafasi yake, labda kama ana matatizo kwenye uongozi wake. Binafsi, bado namuona yupo vizuri na anaendana na kasi ya JPM
Nafasi ya uraisi SJ bado haiwezi, ni mwepesi mno! Uwaziri unamfaa. Kingwendu hamuwezi SJ, bado ana nafasi ya kushinda.
Huu ni mtazamo wangu na si vinginevyo!