Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Kwani mwaka Jana naskia yalitoka baada ya uchaguzi napia wakasubrishwa hadi rais alipotangazwa je na mwaka huu watasubiria nn!
 
Dogo tulia vyuo ving wanamaliza mwezi huu , kwahiyo kunawatu wa diploma pia hawajaapply mpaka matokeo ya vyuo vyao yatoke...,' vuta subira kijana hapo mpaka wa tisa au kumi
 
jamani nacte wanaweza kufungua tena mtandao wao wa CAS kwa ajili ya application tena? au hua ni mara moja tuu???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom