Wakuu habari zenu .Nina kijana aliyekuwa na division three kachaguliwa kujiunga na chuo cha uhadhil TPSC tabora naomba mwenye ufahamu na gharama za awali za kujiunga na chuo hiki anifahamishe.Na kama kuna meal allowance ya direct participants anambie.