Hv mwaka jana first round ilitoka afta mda gan baada ya kufunga dirisha?Actually huchukua muda wa chini ya siku 5 na si zaidi ya hapo. Mana majina ya round ya kwanza yanatakiwa yawahi kutoka ili kutoa muda wa wale wanaofanya second round but pia kuruhusu muda kwa ajili ya mchakato wa HESLB kuprocess majina ya waliopata mkopo na kiasi walichopata. Ikumbukwe HESLB hawawezi toa majina ya waliopata mkopo bila kujua ni idadi ipi wamepata vyuo na kiasi cha ada wanachotakiwa kulipa katika vyuo husika. Hii ikiambatana na baadhi ya vyuo kufunguliwa mwishoni wa mwezi wa 9 na mwanzoni mwa mwezi wa 10.
Hivyo tuwe na subira mpaka kufikia tarehe 5 tutakua tushajua watu tunakwenda.
Niwatakie kheri kwa wale watakaochaguliwa kujiunga na elimu ya juu. Mjipange kwa changamoto kadha wa kadha za kuelekea mafanikio ya kupata elimu yenu.
Ahsanteni.
2 weeks, swali zuriHv mwaka jana first round ilitoka afta mda gan baada ya kufunga dirisha?
Sasa huyu anaesema baada ya cku tano katolea wap2 weeks, swali zuri
mwaka jana ndo ilikuwa ivo labda mwaka huu applicants wachacheSasa huyu anaesema baada ya cku tano katolea wap
Hujakosea mkuu mwaka huu applicants n wachache ukilinganisha na mwaka jana.mwaka jana ndo ilikuwa ivo labda mwaka huu applicants wachache
Jibu zuri,mwaka jana ndo ilikuwa ivo labda mwaka huu applicants wachache
tusubiri, nilikuwa najua labda zile namba zitakuja halisi baada ya deadline manake ziliacha kubadilika nyingine trh za 10 hv nikajua ni shida kama ya mwaka jana kwamba mtuu baada ya deadline ndo anajua wapo 500 akati alioneshwa ni 300, ila mpaka leo hazijachange, sidhani kama zile number ni halisiHujakosea mkuu mwaka huu applicants n wachache ukilinganisha na mwaka jana.
Lakn pia tatzo lipo kwa tcu wangetoa mda maalum ambao utawawezesha wadau weng kua tayar juu ya jambo hilo.
Kulko hiv sasa kulvyokua na ukakas, nakubaliana na wewe juu ya kiachiwa baada ya wik chache lakn huyu wa baada ya cku tano ananipa was was.
Ule n mfumo maalum mkuu lazma kutakua na ukwel ndan yake.tusubiri, nilikuwa najua labda zile namba zitakuja halisi baada ya deadline manake ziliacha kubadilika nyingine trh za 10 hv nikajua ni shida kama ya mwaka jana kwamba mtuu baada ya deadline ndo anajua wapo 500 akati alioneshwa ni 300, ila mpaka leo hazijachange, sidhani kama zile number ni halisi
mwaka jana haikuwa ivo speaking from own experience, ilistuck kuchange kama wiki 2 before deadlineUle n mfumo maalum mkuu lazma kutakua na ukwel ndan yake.
Duuuh labda n technology yetu bado haijakua advancedmwaka jana haikuwa ivo speaking from own experience, ilistuck kuchange kama wiki 2 before deadline
Yap but kwa nda gan?wait soon you will be notified
Nin?Hivi mwisho wa Ku apply ni lini tena?
Actually huchukua muda wa chini ya siku 5 na si zaidi ya hapo. Mana majina ya round ya kwanza yanatakiwa yawahi kutoka ili kutoa muda wa wale wanaofanya second round but pia kuruhusu muda kwa ajili ya mchakato wa HESLB kuprocess majina ya waliopata mkopo na kiasi walichopata. Ikumbukwe HESLB hawawezi toa majina ya waliopata mkopo bila kujua ni idadi ipi wamepata vyuo na kiasi cha ada wanachotakiwa kulipa katika vyuo husika. Hii ikiambatana na baadhi ya vyuo kufunguliwa mwishoni wa mwezi wa 9 na mwanzoni mwa mwezi wa 10.
Hivyo tuwe na subira mpaka kufikia tarehe 5 tutakua tushajua watu tunakwenda.
Niwatakie kheri kwa wale watakaochaguliwa kujiunga na elimu ya juu. Mjipange kwa changamoto kadha wa kadha za kuelekea mafanikio ya kupata elimu yenu.
Ahsanteni.