SELECTION POSTGRADUATE DIPLOMA mbona haijawekwa ktk tovuti ya UDSM(MLIMANI)? je CBE nako mbona kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SELECTION POSTGRADUATE DIPLOMA mbona haijawekwa ktk tovuti ya UDSM(MLIMANI)? je CBE nako mbona kimya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by OgwaluMapesa, Aug 16, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Udsm wametoa selection ktk baadhi ya ya course tu nashsngaa course nyingine mpk leo kimya imekaaje hili?

  Pia cbe nao kimya ktk selection za postgraduate diploma.

  Msaada wadau
   
 2. K

  KWA MSISI Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata selection za MASTERS Mzumbe campus ya DSM kimya mpaka leo wakati za Morogoro zilishatoka cku nyingi!!.Halafu sijui ni kwa nini website ya chuo cha mzumbe-dsm haiwi updated!!??

  Kwa maoni yangu campus ya mzumbe-dsm inaweza haribu reputation nzuri ya chuo cha mzumbe in long run!!!naona kama wapo kutafuta pesa zaidi
   
Loading...