Sekta za Uchumi na mchango wake kwa Pato la Taifa la Tanzania

Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
80
Ndugu wana JF, naomba kufahamishwa sectors mbali mbali na mchango wake kwa pato la taifa, esp kwa data za miaka ya 2006, 2007, 2008 na 2009 kama inawezekana.
 
Jaribu kucheti kwenye web ya wizara ya fedha au kwenye budget speech zipo online. Ukishindwa check kwenye web ya takwim
 
Back
Top Bottom