Sekta ya ualimu iwe lazima kwa kila mhitimu wa chuo kikuu

mlugaruga

Member
Dec 21, 2016
85
125
Kutokana na uhaba wa walimu uliokithiri katika maeneo mengi nchini kwetu haswa walimu wa hisabati na sayansi, nilikuwa naliomba bunge tukufu lije na sheria itayowafanya wahitimu wote wa vyuo bila kujali fani walizosomea kuripoti katika shule za serikali na kufundisha kwa miaka mitatu ili waweze kupata vibali vya kufanya kazi katika sekta walizosomea,hii italeta tija sana katika sekta ya elimu na kuleta matokeo chanya zaidi
 
mlugaruga

Member
Dec 21, 2016
85
125
Unapopinga kitu inabidi uje na wazo mbadala ili kuweza kutatua tatizo hili ambalo lina athari kubwa katika sekta ya elimu, wanafunzi wanafeli sio kwa sababu hawana akili la hasha ni kutokana na kukosekana kwa walimu, binafsi yangu naona hili ni wazo zuri
 
kkkt

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
364
250

Unatetea mini sasa hiyo ivi huoni kana unaandika kitu kiko juu ya uwezo wako wakufikiri
 
Hata ulichokiandika hata wewe mwenyewe hujakielewa, tatizo umekurupuka kutoa maoni bila kuelewa ni nini mtoa mada anakimaanisha, mkuu uwe unajaribu kushirikisha mawazo yako na wenzio maana wewe mwenyewe unaonekana bado sana
 
kkkt

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
364
250
Hata ulichokiandika hata wewe mwenyewe hujakielewa, tatizo umekurupuka kutoa maoni bila kuelewa ni nini mtoa mada anakimaanisha, mkuu uwe unajaribu kushirikisha mawazo yako na wenzio maana wewe mwenyewe unaonekana bado sana
We mwnywe nakujua na hujui lolote kuhsu mambo ya ualim mambo hayo tuachie cc
 
ENANTIOMER

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
1,420
2,000
Kutokana na uhaba wa walimu uliokithiri katika maeneo mengi nchini kwetu haswa walimu wa hisabati na sayansi, nilikuwa naliomba bunge tukufu lije na sheria itayowafanya wahitimu wote wa vyuo bila kujali fani walizosomea kuripoti katika shule za serikali na kufundisha kwa miaka mitatu ili waweze kupata vibali vya kufanya kazi katika sekta walizosomea,hii italeta tija sana katika sekta ya elimu na kuleta matokeo chanya zaidi
unaonekana kama ni mtu uliyemaliza chuo kikuu na umekosa kazi ktk fani uliyosomea, na sasa unautamani ualimu ili chochote kiingie tumboni. kama unautaka ualimu, basi rudi chuo ukasomee ualimu. au wahi tamisemi. mheshimiwa muongo, maarufu kama Suleimani jafo, kwa kushirikiana na muongo mbobezi, maarufu kama Joseph Simbachawene, wana programu kwa waliosomea sayansi chuo kikuu na wakakosa kazi. waliahidi watawakusanya kwa mafungu, kisha wawapeleke kozi fupi majazwe madini kidogo ya ualimu, ili muwe angalau walimu wa tempo. kisha mtatakiwa kwenda kusomea ualimu full ili kulinda ugali wenu.
 
Asovene

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
213
250
kupanga ni kuchagua kuna walimu waliyohitimu wapo mitaani zaidi ya elfu hamsini wanasubiri ajira.labda tusubir ile ndege ya kubeba zaidi ya watu 270 kutoka china na marekani labda litakuja na walimu hasa wa mathematics na fizikia
 
ENANTIOMER

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
1,420
2,000
kupanga ni kuchagua kuna walimu waliyohitimu wapo mitaani zaidi ya elfu hamsini wanasubiri ajira.labda tusubir ile ndege ya kubeba zaidi ya watu 270 kutoka china na marekani labda litakuja na walimu hasa wa mathematics na fizikia
wewe kijana hujui swala la faru john, ndege, na njaa vilipigwa marufuku? endelea kuleta uchochezi!
 
Asovene

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
213
250
wewe kijana hujui swala la faru john, ndege, na njaa vilipigwa marufuku? endelea kuleta uchochezi!
we hujawahi kufundishwa na walimu wazungu?? kuna wakati tulikuwa na walimu wakujitolea wanajiita volunteers wakati nipo moro sec tuliwahi kuwa naye akifundisha mathematics...
 
Bacary Superior

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
3,731
2,000
Serikal ina walimu wa kutosha ndo maana hatutak kuajiri sasa hivi kama wewe una hela ebu waajili waende private kufundisha maana serikalin walimu wamezidi mpaka wanafunz wanafaulu sana angalia matokeo ya kidato cha pili na ngoja kidato cha nne 70% wana one na two divisions sasa tuna mpango tuufute ualimu mpaka watapopungua tutarudisha tena
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,066
2,000
Kufundisha ni taaluma na pia kuna mgawanyo wa majukumu. Serikali ikiweka vivutio vya kutosha itapata walimu wenye weledi na maadili vinginevyo.......
 
GUI

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,848
2,000
Unapopinga kitu inabidi uje na wazo mbadala ili kuweza kutatua tatizo hili ambalo lina athari kubwa katika sekta ya elimu, wanafunzi wanafeli sio kwa sababu hawana akili la hasha ni kutokana na kukosekana kwa walimu, binafsi yangu naona hili ni wazo zuri
Huo uhaba umeutoa wapi wakati serikali haija ajiri kuwa walimu wapo
 
mlugaruga

Member
Dec 21, 2016
85
125
unaonekana kama ni mtu uliyemaliza chuo kikuu na umekosa kazi ktk fani uliyosomea, na sasa unautamani ualimu ili chochote kiingie tumboni. kama unautaka ualimu, basi rudi chuo ukasomee ualimu. au wahi tamisemi. mheshimiwa muongo, maarufu kama Suleimani jafo, kwa kushirikiana na muongo mbobezi, maarufu kama Joseph Simbachawene, wana programu kwa waliosomea sayansi chuo kikuu na wakakosa kazi. waliahidi watawakusanya kwa mafungu, kisha wawapeleke kozi fupi majazwe madini kidogo ya ualimu, ili muwe angalau walimu wa tempo. kisha mtatakiwa kwenda kusomea ualimu full ili kulinda ugali wenu.
Hayo ni mawazo yako siwezi kuyapinga na kumbuka tuko hapa kutoa mawazo chanya kwa manufaa ya taifa, watu tuna professional zetu lakini still tunaumia na mzgo mlionao walimu tunasuggest mbinu za kuboresha elimu wewe unaona kama wote tunautaka ualimu wewe, think twice
 
ENANTIOMER

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
1,420
2,000
Hayo ni mawazo yako siwezi kuyapinga na kumbuka tuko hapa kutoa mawazo chanya kwa manufaa ya taifa, watu tuna professional zetu lakini still tunaumia na mzgo mlionao walimu tunasuggest mbinu za kuboresha elimu wewe unaona kama wote tunautaka ualimu wewe, think twice
pole sana kijana. ila huwezi kukabiziwa ofisi ya serikali kama muhasibu, wakati hujasomea uhasibu. labda upitie njia za panya, maarufu kama mtoto wa njomba.

unadhani ni kwanini mtu amabye hajasomea uhasibu haaminiwi kukabidhia ofisi ya serikali na kua mtunza fedha? nadhani unajua sababu, na sababu hizo hizo ndizo zinafanya wale wasio walimu wasiruhusiwe kuigiza kama ualimu.

kama unataka kujitolea, basi denda kwa mheshiwa Jafo, a.k.a bwana muongo aliyekubuhu kuhusu ajira za walimu, akupe utaratibu wa kozi fupi ya ualimu. haatutaki uje umekariri notes na majibu ya maswali, kisha uvamie darasa. ualimu sio kujua kusolve tu, bali unajumuisha mambo mengi ambayo kuyajua ni lazima ukausomee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom