Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,495
- 9,275
Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea kubadili hali/vinasaba vyake vyas awali, na; 6) utafiti wa tiba asili.
Matokeo ya tafiti hizo, ni pamoja na; Kuwezesha Serikali kufahamu aina ya kirusi kilichopo nchini ili kufanya vipimo na kutoa chanjo; Kufahamu sababu za muitikio mdogo wa jamii katika kupata chanjo ya UVIKO - 19 hivyo kuishauri Srikali njia sahihi ya kuongeza muitikio.
Kufahamu ufanisi wa dawa za asili katika kupambana na UVIKO - 19 na kuishauri Serikali; Kufahamu madhara ya UVIKO - 19 kwa wagonjwa wanaopata maambuki; kufahamu viambata vilivyopo kwenye dawa za asili ambavyo vinasababisha utibabu wa korona na kufanya ugunduzi wa chanjo dhidi ya UVIKO-19.