Ninaandika haya kwa uchungu kwa sababu imekuwa ni kawaida sana Manispaa ya Kigoma kuona mambo mengi yakifanyika bila kufuata miongozo iliyowekwa na serikali tukufu ya mh Rais.
Imekuwa ni kawaida baadhi ya viongozi katika sekta hiyo kuvaa Uungu Mtu.
Watumishi wengi wananyanyasika, wanakosa hata amani ya kuwatumikia wananchi kwa sababu ya watu wachache sana.
Nashauri ofisi ya Tamisemi na wizara ya afya,maemdeleo ya jamii,wazee ,Jinsia na watoto kupeleka jicho la Ziada Manispaa ya Kigoma
Ahsante
Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu tusitafute mchawi dawa ni kubadilika kimtizamo