Sekta Binafsi, makampuni mengi yanakwepa kodi na wafanyakazi wanapunjwa mshahara....!

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Wiki iliyopita nilisikia kuwa TUCTA wanapanga kuipeleka Serikali mahakamani kwa kuchakachua mishahara ya wafanyakazi sekta binafsi.

Wakati wa kampeni tumesikia kuwa wafanyakazi wa serikali wameongezewa mishahara. Ila serikali imeshindwa kuyabana makampuni binafsi kama makampuni, viwanda n.k

Kwa nini serikali imeshindwa kuyabana makampuni binafsi na viwanda??????

Kwa nini TUCTA isiandae maandamano nchi nzima???

Makampuni binafsi na viwanda wanadai eti faida ni kidogo, simple like that halafu serikali inakaa kimya...

Wana JF, michango yenu inahitajika ili tuweze kunyoosha haya mambo... Watu wanateseka - imagine mfanyakazi anaishi kwa kukopa na mlo mmoja....!!!

Inawezekana licha ya makampuni binafsi kutojali masilahi ya wafanyakazi, hawana salary scale, hawana HR personell, na makampuni yanaweza kukwepa kodi.
 
Inawezekana licha ya makampuni binafsi kutojali masilahi ya wafanyakazi, hawana salary scale, hawana HR personell, na makampuni yanaweza kukwepa kodi.
 
Wafanyakazi Customer care Vodacom wanalia kilio kibaya huko nasikia, kampuni wana outscoure kutoka kijikampuni kinaitwa Ero link mishahara midogo mnoo, kabla ya hapo watu walikuwa wanalipwa kilo saba na nusu sasa ero link watakuwa wanalipwa kilo tatu na stini na hapo masaa yatimie 8hrs yakishuka tu kidogo unakatwa pesa. Vodacom yenyewe malipoo inayotoa kidogo mno kuna watu wana miaka saba eti sheria inasema kila mwaka unalipwa siku saba tuu. kweli huko sekta binafsi ni balaa, TUCTA saidia hukooo
 
yap!mi ni muhanga wa sekta binafsi kwa kweli inaumiza na swala la kusema faida ni ndogo
halipo wao wanataka tu cheap labour kwa ajili ya kupata faida zaidi na hasa ukizingatia soko la ajira ni gumu nchini basi ndo wala sekta hizi hazijali.

Nafikiri kama watu kama wa customer care wanaibeba kampuni kwa kiasi kikubwa na ni watu
muhimu sa inakuaje mambo ya kazi ngumu namna hiyo mtu analipwa kiasi kidogo namna hiyo tena kwa masaa ?
 
yap!mi ni muhanga wa sekta binafsi kwa kweli inaumiza na swala la kusema faida ni ndogo
halipo wao wanataka tu cheap labour kwa ajili ya kupata faida zaidi na hasa ukizingatia soko la ajira ni gumu nchini basi ndo wala sekta hizi hazijali.

Nafikiri kama watu kama wa customer care wanaibeba kampuni kwa kiasi kikubwa na ni watu
muhimu sa inakuaje mambo ya kazi ngumu namna hiyo mtu analipwa kiasi kidogo namna hiyo tena kwa masaa ?[/QUOTE

Je umewahi kufikiria kujiajiri?
 
Mwajiri binafsi anatafuta faida ya juu kadiri anavyoweza kwa kupunguza gharama kadiri iwezekanavyo. Hiyo ndiyo biashara.

Wa kulaumiwa ni vyombo vya kusimamia masilahi ya wafanyakazi na vyombo vya kodi kwa kuwaachia waajiri binafsi watoe masilahi hafifu au wakwepe kodi.
 
Hii ni tatizo kwa company karibu zote.Nyingine hawalipi kabisa kupita bank,wengine HR ana mikataba miwili anakupa mmoja...ukionekana kutoridhika anatoa fasta mwingine kwenye droo.

Nyingine saraly scale hawana....gradutes na hawajulikani wanalipwa ngapi kama kianzio....experince nao hawajulikani vile vile.Auditing system ya nchi yetu nayo haujulikani huwa inakagua nini.....project au company inakuwa lounched...kila mwezi au qtr wanakuja kagua na kuondoka lakini mpaka mwenye company toka toronto anakuja kuangalia anakuta anadanganywa..yeye mwenyewe...dah full vurugu.
 
Nawashukuru sana wachangiaji, hasa Pmwasyoke na Buswelu.

Kweli Tanzania tupo utumwani, hakuna tofauti ya msomi wa chuo kikuu,diploma au cheti. haki hakuna ni sawa na punda tu, ndivyo waajiri wanavyofanya.

Kujiajiri ni ngumu Tanzania maana mikopo kuipata ni ngumu. Pia ni vizuri ufanye kazi kidogo upate uzoefu wakati huo huo ufikirie njia ya kuanzisha biashara.

Inabidi wafanyakazi tupige kelele sana, hata ikiwezekana haya majadiliano tuweke kwenye magazeti. Tuanze harakati na tutafanikiwa, wenzetu serikalini wamepon, bado sisi sekta binafsi.

Kenya kampuni ikikwepa kodi, wafanyakazi wanaisemea kwa serikali kisirisiri.
 
Wiki iliyopita nilisikia kuwa TUCTA wanapanga kuipeleka Serikali mahakamani kwa kuchakachua mishahara ya wafanyakazi sekta binafsi.

Wakati wa kampeni tumesikia kuwa wafanyakazi wa serikali wameongezewa mishahara. Ila serikali imeshindwa kuyabana makampuni binafsi kama makampuni, viwanda n.k

Kwa nini serikali imeshindwa kuyabana makampuni binafsi na viwanda??????

Kwa nini TUCTA isiandae maandamano nchi nzima???

Makampuni binafsi na viwanda wanadai eti faida ni kidogo, simple like that halafu serikali inakaa kimya...

Wana JF, michango yenu inahitajika ili tuweze kunyoosha haya mambo... Watu wanateseka - imagine mfanyakazi anaishi kwa kukopa na mlo mmoja....!!!

Inawezekana licha ya makampuni binafsi kutojali masilahi ya wafanyakazi, hawana salary scale, hawana HR personell, na makampuni yanaweza kukwepa kodi.

yanayofanyika katika private sector ni ya kusikitisha sana ni kama enzi za tipu tip
 
Solution ni kwamba kama kuna namna wee walize tuu ndo suluhu haiwezekana umekamua chuo halafu wanakuja leta usanii kwenye hela.
Mbaya zaidi kuna makampuni ya kigeni yakija yanapeleka scale wizarani kwa ushauri kuna watu wanakata izo scale alafu cha juu wanakula wao.
Tena kwa kujigamba mishahara mikubwa sana hii.
Nina ushaidi wa kampuni moja apa walitaka walipa branch managers dola 1000 kwa mwezi hatiame wakaambiwa 400000 inatosha as a result daily wanalizwa mpaka wanatia akili.
No way mtu anafanya transaction mpka za 100mill a month anaambulia kupata 400,000 huu ni uhuni kabsaaaaaaaaaaa
 
Kuna taaluma zingine hazina jinsi ya kumliza mwajiri wako, kazi kweli kweli.
 
Ishu ni kuwaliza mpaka meza za ofisini ndio wajue tumechoka, vodacom kwa siku wanakusanya sichini ya Bilion 1.4 zote zinaishia kwa RA ambae anahisa za kifisadi 72 Huku akitumia serikali kupunguza Running cost na kuwabana wafanyakazi, aibu kwa serikali, Ipo siku Mapanga yataonge maana midomo itachoka kuongea.:A S angry:
 
]Ishu ni kuwaliza mpaka meza za ofisini ndio wajue tumechoka[/COLOR], vodacom kwa siku wanakusanya sichini ya Bilion 1.4 zote zinaishia kwa RA ambae anahisa za kifisadi 72 Huku akitumia serikali kupunguza Running cost na kuwabana wafanyakazi, aibu kwa serikali, Ipo siku Mapanga yataonge maana midomo itachoka kuongea.:A S angry:

Pale majembe auction mart meza zipo nyingi sana,sasa kila mtu akisomba fenicha za ofisini kwao tutazipeleka wapi? ukizingatia wengi tumepanga chumba na sebule !!!!!!!!
 
Back
Top Bottom