Wiki iliyopita nilisikia kuwa TUCTA wanapanga kuipeleka Serikali mahakamani kwa kuchakachua mishahara ya wafanyakazi sekta binafsi.
Wakati wa kampeni tumesikia kuwa wafanyakazi wa serikali wameongezewa mishahara. Ila serikali imeshindwa kuyabana makampuni binafsi kama makampuni, viwanda n.k
Kwa nini serikali imeshindwa kuyabana makampuni binafsi na viwanda??????
Kwa nini TUCTA isiandae maandamano nchi nzima???
Makampuni binafsi na viwanda wanadai eti faida ni kidogo, simple like that halafu serikali inakaa kimya...
Wana JF, michango yenu inahitajika ili tuweze kunyoosha haya mambo... Watu wanateseka - imagine mfanyakazi anaishi kwa kukopa na mlo mmoja....!!!
Inawezekana licha ya makampuni binafsi kutojali masilahi ya wafanyakazi, hawana salary scale, hawana HR personell, na makampuni yanaweza kukwepa kodi.