Sekretarieti ya EAC yafyeka bajeti ya vikao!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Baada ya Magufuli kuwaagiza kupunguza matumizi yasiyo ya lazima hatimaye sekretarieti hiyo imepunguza bajeti yake kwa kiasi cha shilingi bilioni moja na ushehe.

Ingawa posho za sekretarieti zimeendelea kubaki vile vile.

Hii ni move nzuri kwa kuanzia...!

Kidogo kidogo tutaelewana tu...


Source Daily Nation
 
Kama jumuiya ya afrika mashariki wameelewa wewe ni nani usiyependa kuelewa?
 
Back
Top Bottom