Sekretarieti ya Ajira: Tangazo la kuitwa Kazini kwa nafasi mbalimbali, waliofanya usaili kuanzia tarehe 17- 27/10/ 2017


Jagood

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Messages
1,870
Likes
1,559
Points
280
Jagood

Jagood

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2016
1,870 1,559 280
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa (MOI), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Chuo cha Serikali za Mitaa– Hombolo (LGTI), Hospitali ya Rufaa ya KCMC na Chuo cha Takwimu cha Afrika Mashariki (EASTC) waliofanya usaili kuanzia tarehe 17 – 27 Oktoba, 2017 kuwa matokeo ya usaili yamekwishaidhinishwa na waombaji kazi waliofaulu usaili huo na kupendekezwa kutumwa kwa Mwajiri ni kama yalivyoorodheshwa katika Tangazo hili

Kwa wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa

Kwa wale waliofaulu na kupangiwa vituo vya kazi. Ili kuona jina lako na kituo chako cha kazi, Bofya HAPA
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,251,682
Members 481,836
Posts 29,780,305