Sekretarieti Ya Ajira Na Filamu Ya "The Long Wait",,,,,!

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
24
Jamani ebu tupeane mawazo kuhusu hawa jamaa wa
PSRS:
Tarehe 28 mwezi uliopita (Novemba) wameita watu kazini kwenye kada mbali mbali kama MEO,VEO,WEO na zingine nyingi.
Katika tangazo la kuita watu kazini Katibu wa chombo hicho aliandika hivi: "Aidha barua za kuitwa kazini zimetumwa kupitia kwenye anwani zao"
Lakini cha Kushangaza ni kwamba mpaka leo tarehe 6 dec hizo barua hatujazipata.
Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu hili anijuze wadau,,,
 
Mungu wangu yaani wewe sijui nikusadiaje, maombi ya kazi ulituma haraka sana, interview ulikwenda haraka sana, kazi umepata unasubiri nyumbani na huku unaona muda unaenda, ohooo unachezea shilingi chooni eeeh.

Ushauri
Bila kugeuka nyuma kimbia sana mpaka ofisi za secretariate ya ajira kaombe barua yako ukiwa na vitambulisho vyote muhimu. maana inawezekana imepotelea njaan mikononi mwa posta. Ukichelewa kuriport nafasi anapewa aliyekuwa next kwako
 
wahi ofisini kwao la sivyo itakula kwako! Mind you wanafanyaga kamchezo ka kuficha barua za watu
 
Jamani ebu tupeane mawazo kuhusu hawa jamaa wa
PSRS:
Tarehe 28 mwezi uliopita (Novemba) wameita watu kazini kwenye kada mbali mbali kama MEO,VEO,WEO na zingine nyingi.
Katika tangazo la kuita watu kazini Katibu wa chombo hicho aliandika hivi: "Aidha barua za kuitwa kazini zimetumwa kupitia kwenye anwani zao"
Lakini cha Kushangaza ni kwamba mpaka leo tarehe 6 dec hizo barua hatujazipata.
Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu hili anijuze wadau,,,

Barua zimetoka, kachukue ya kwako haraka sana kama umepatiwa ajira, usisubiri kuletewa mlangoni
 
wahi ofisini kwao la sivyo itakula kwako! Mind you wanafanyaga kamchezo ka kuficha barua za watu

Kweli kazi ipo,,!
Maana nafikiria gharama za kutoka kigoma kwenda dar kufuata barua.
 
Jamani ebu tupeane mawazo kuhusu hawa jamaa wa
PSRS:
Tarehe 28 mwezi uliopita (Novemba) wameita watu kazini kwenye kada mbali mbali kama MEO,VEO,WEO na zingine nyingi.
Katika tangazo la kuita watu kazini Katibu wa chombo hicho aliandika hivi: "Aidha barua za kuitwa kazini zimetumwa kupitia kwenye anwani zao"
Lakini cha Kushangaza ni kwamba mpaka leo tarehe 6 dec hizo barua hatujazipata.
Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu hili anijuze wadau,,,

Mkuu Vuta Subira tunasubiri Maelezo Mengine Kutoka Lumumba
 
Kama mtu hujapata huenda anwani uliyoacha haikuwa sahihi ila barua zimetumwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni• Mbona hata mie nimepata barua ya kazi kwa njia ya posta• Ila kuna washkaji zangu wao waliamua kwenda ofcn kwao na vitambulisho wamepewa barua kuja posta wanakuta barua zimefika•
 
Mimi nimeifuata pale maktaba complex leo mchana usisubilie posta.unarkiwa uripot kwa mwajiri ndani ya siku 14. Mimi ni w.e.o.11
 
Hii n hatar kwetu ss watu wa kusin nyanda za juu. Jaman hamna alternative kwetu ss tulio mbali na dar?
 
Kweli kazi ipo,,!
Maana nafikiria gharama za kutoka kigoma kwenda dar kufuata barua.

kama vipi hiyo laki moja na kumi ya kuja dar na kurudi unaionea uchungu sana anzisha genge tu likusaiidie!!!!
 
Kachukueni barua zenu pale maktaba complex wapendwa. Kama ujaiona kwenye posta. Mimi nimeshachukua ya kwangu na kesho j2 naenda kuripoti kwa mwajili masasi. Siku njema na mbalikiweeeeee woooooooooooooooooooooooooote
 
Mkuu vp hakuna urasimu unapo enda kuchkua barua? Naomba mwongozo kaka ili nitapo enda nijue na anzaje.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom