Sekretarieti ya ajira kuna nini?, tovuti yao kila nikifungua wananiambia kuna mambo wanarekebisha, tangu juzi.

Mp19

JF-Expert Member
May 3, 2019
259
715
Hii hali nimeiona tangu juzi jioni, watu tulifanya usaili tukitegemea kuanzia Jumamosi tupate matokeo ya usaili wa mchujo lakini binafsi nikifungua inazingua.
Updates
Nimefanikiwa kuyapata.
Thanks
 
Attachments

  • Screenshot_20190602-081305.png
    Screenshot_20190602-081305.png
    10.8 KB · Views: 26
Hii hali nimeiona tangu juzi jioni, watu tulifanya usaili tukitegemea kuanzia Jumamosi tupate matokeo ya usaili wa mchujo lakini binafsi nikifungua inazingua.
Majina mbona yamo humu mkuu. Ulikua kada gani?
 
Back
Top Bottom