Nsombas
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 239
- 321
Wakuu naomba kulifahamu hili suala ambalo lipo PSRS. Unakuta wameita watu 600+ kwenye written interview kwa nafasi fulani ambayo inahitaji watumishi 32. Ninachotaka kufahamu, hua wanafanya marking kivipi mpaka wanatoa matokeo ya written interview siku hiyo hiyo. Na wakati huo huo kuna nafasi nyingine zaidi ambazo nazo zina walofanya usaili wa maandishi nao matokeo hutolewa siku hiyo hiyo.
Nisaidieni nipate ufahamu tafadhali. Wana mark kwa kutumia nini? Au technology imekua sana na kuna systems za kufanya marking?
Nisaidieni nipate ufahamu tafadhali. Wana mark kwa kutumia nini? Au technology imekua sana na kuna systems za kufanya marking?