Sekretarieti ya ajira angalia kwa makini

jonas255

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
222
104
Hivi jamani hawa sekretarieti ya ajira mbona hawana pass marks hii tabia inaonesha jinsi gani wanavyopokea rushwa. Maana kuna watu wanapata mtihani migumu 98 had 90 na hakuna area of concentration.

Je inamaana hawa watu hua wanapewa mitihani kabla ya wengine kufanya au?

Pili interviews zao zinakera yaani wanafanya jumamosi badala ya kufanya kipindi chao cha kazi.

Tatu wanatoa majina ya usaili siku moja na interview inatakiwa kufanya baada ya siku tatu au nne.. hivi hii ni haki? wanaotoka mikoani hawastaili kufanya usaili au?

Nne sehemu wanayofanyia interview ni mbali sana yaani chuo cha mwalimu nyerere kigamboni, watu wanaokaa mbali na uko inatakiwa kulala hotelini na inagarimu sana wakati mitihan yenyewe inavyosahihishwa inaonekana kabisa watu wanafanyiana mchongo.

Katika sector serikali iliyokosea ni hii sector na inaitaji marekebisho makubwa sana na pass marks inabidi iwekwe, maana hakuna mtihani usio na pass marks ndio maana kuna alama a,b,c,d and f.

Mimi binafsi nimekata tamaa kwenye hii sekretariet maana hawaeleweki.

mfano angalieni hii,

Kada: compliance officer

Mwariji: social security regulatory authority- (SSRA)

EXAM NUMBER SCORE REMARKS

PSRS COMP OFF SSRA-0254 98 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0020 96 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0179 96 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0152 95 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0053 94 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0096 93 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0180 93 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0252 93 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0216 93 SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0058 88 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0110 88 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0127 84 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0139 84 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0151 84 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0169 78 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0262 78 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0025 77 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0048 76 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0071 75 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0171 75 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0019 74 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0037 70 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0271 68 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0166 66 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0258 64 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0002 62 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0016 58 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0075 58 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0073 56 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0099 56 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0136 56 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0033 54 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0143 54 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0027 52 NOT SELECTED

PSRS COMP OFF SSRA-0263 52 NOT SELECTED
 
Moja; Kuna watu bado akili zipo, sio vilaza kama wewe

Mbili; Nani kakuambia kazi yao ni interview tu? Wana kazi nyingine za ofisi. Hata hivyo wengi ya wanaofanya interview ni wafanyakazi, siku za kazi watashindwa kwenda. Kwahyo wamewafikiria jmosi ili wapate nafasi

Tatu; Ulitaka watoe majina lini? Kama unataka kazi tudi dar ufanye interview kama hutaki baki huko, refer wale 10,800 wa uhamiaji walotoka mikoani kuja kugombani nafasi japo walijua hawapati

Nne; Mwl Nyerere mbali? Ungeambiwa inafanyika Zanzibar au Mtwara ungesemaje?? Au omba waje kufanyia mikoani kwako. Na una uhakika gani watu wanafanyiana michongo? Kuna watu wanapata kazi bila michongo. Inaelekea hujiamini.

Pass Mark ni hamsini kijana acha kuogopa au hata hyo 50 umeikosa??

BTW interview ya SSRA ilikuwa nyepesi sana. Hata wa form six anatumbua 90.

Pole sana
 
  • Thanks
Reactions: GKM
mdau sio kweli kwamba hua wanapewa mitihani mana mimi nlishawahi piga last year written ya kwanza nlipiga 75% nikawa wa nne kwenye group na nikapita oral na post nyingine nlipiga written 95% na ndio nliongoza group....so kuhusu kupeana maswali nadhani si kweli wewe jipange tuu paper likija upande wako fumua uwezavyo usidharau hata moja.
 
pole ndugu, inaonekana jina lako halipo, pia naona pass mark wanaweka kutegemeana na kada, wengine 50, wengine 80 n.k, kuhusu pepa ni uelewa wako tu, kama ni msomi mzuri mbona kipindi cha nyuma watu hesabu hatujui lakini kuna wengine wanatoka na 81. na mimi nimeshafanya hapo utumishi interview 1 nilikuwa wa 8 na kuna watu walipata 5. piga moyo konde ikitoka nyingine omba ipo siku utafanikiwa sio kulaumu. maana mpaka sasa unajadili eneo la usahili, je kwa mashirika mengine, nilishaitwa muleba huko, sema sikwenda, na wewe fanya uamuzi kama mbali na huna shida lala home.
 
nilifanya usaili mwaka juzi senior acct taasisi iliyopo chini ya wizara ya fedha nikaongoza oral tena kwa gap kubwa la marks ,oral nilijibu maswali poa sana mpaka panel walishangaa
cha ajabu sikuitwa mimi mtu wa tano kwenye written ndio akaingia mzigoni
 
nilifanya usaili mwaka juzi senior acct taasisi iliyopo chini ya wizara ya fedha nikaongoza oral tena kwa gap kubwa la marks ,oral nilijibu maswali poa sana mpaka panel walishangaa
cha ajabu sikuitwa mimi mtu wa tano kwenye written ndio akaingia mzigoni

Duh si bure
 
kuhusu passmark yao ni 50 lakini muda mwingine wanaangalia na ufaulu wa watu,kama watu wengi wapo juu ya50 huchukua maksi zilizo juu zaidi kama 70 kupanda juu,kuhusu kubebana sina uhakika zaidi ila watu wengi husema hivyo.
 
Mtoa mada umevurugwa coz watu kibao watoto wa kawaida wanaingia uhamiaji bila mchongo wowote so ww kaza acha kulalama kaka kuhusu pepa jumamos poa tu coz watu wengi wanakua off so piga shule bro acha uvivu
 
Mtoa mada ameniudhi kutaka usaili ufanyike siku za kazi,sijui anawaza nini huyu? Loooh,huyu atakuwa either msabato,au hana la ......anyway ameniudhi aje kueleza kwanini hataki usaili uwe jumamosi...
 
Kaza buti wewe unataka na area of concentration hadi kwenye interviev broo chuo gani icho cha kata wamewazoesha ivo pambana kavu kavu broooo kila kitu area of concentr dar noma kweli kweli
 
kufanya interview j1/ sabbath I support you kuwa liepukwe coz linawaengua/bagua wasabato halisi. but hayo mengine nahic umevurugwa.
 
Interview sio kujibu maswali tuu, maswali yana asimia 50 ya interview! Kuna mambo lukuki wanaangalia,kwa mfano unaweza ukaenda ukajbu vizur maswali lakin umevaa kama mpga,debe, huwezi kupewa ofsi, ama unalnesha ishal za rushwa juc za way unavoongea wanawez kujua hili litakuwa fisad nguli! A lot of things they consider
 
brthr huwezi kupima IQ ya mtu kwa swali moja tuu... so unavyosema mshikaji ni kilaza unakuwa unakosea.. mind u i was one of the people walioenda kufanya paper hyo ya compliance officer wale jamaa wameleta swali moja tuu dakika 40. sidhani kama hapo wanakuwa wamepima uelewa wa mtu kwa swali moja....
 
Kazi ya interview ya written sio kuona watu wanavyofaulu au kuhakikisha wasailiwa wanavuka pass mark, kazi ya interview ya kuandika ni kupunguza idadi ya wasailiwa wa hatua inayofuata...haina maana kuweka passmark maalumu kwasababu vipi kama wasailiwa wote watavuka hiyo pass mark, lengo la kufanya hiyo interview litakuwa halijatimia....kinachofanyika ni kwamba kama wanataka watu 12 kwenye oral kwa ajili ya nafasi mbili basi mtu wa kwanza 1 hadi 12 kwenye kufaulu ndo wanaitwa kwa ajili ya oral interview, kigezo cha passmark hakitakiwi kuwepo.
 
Back
Top Bottom