Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 750
Napongeza kwanza kwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa wantanzania. Ila kwa sasa mnawatia umasikini wantanzania. Kazi inahitaji mtu mmoja, mnatoa orodha ya watu 500. Hawa mnawaita wafanye mtihani wa mchujo kwa ghalama zao; mtihani wa dakika 40 unaosahihishwa kwa saa mbili na kutoa majibu. Mnachagua wanne kwa mahojiano. Tambueni haya;
1. Hawa wanakopa pesa ya nauli
2. Hawana jamaa katika miji ya interview hivyo wanataka pesa ya kujikimu.
Napendekeza haya;
1. kwa sasa technolojia imekua hivyo mnaweza kundesha mtihani wa mchujo online, mkapata manowataka kwa interview ya mahojiano.
2. Au mtihani wa mchujo ufanyike kwenye makao makuu ya wilaya na wanaofaulu ndio waje kwenye mchujo.
Tambueni kuwa wengi wa wanaokuja kwenye interview ni vijana waliomaliza vyuo na hawana pesa za kujikimu.