Sekeseke la H.Polepole limezimwa na Spika, lipo lingine litazima hili la Spika Ndugai

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,442
Hii nchi bhana, yaani sekeseke moja likiibuka njia ya kulizima ni kuanzisha sekeseke lingine, na hapo macho, masikio, akili na mijadala inahamia kwenye hilo jipya na watz walivyo wasahaulifu wanahama jumla!

Sekeseke la Polepole lilitrend sana na kuteka mitandao yote ya kijamii, lakini ikumbukwe la Polepole lilikuja kimkakati kuzima sekeseke lingine lililokuwa limeshika hatamu hapo kabla.

Sasa Spika, Job Ndungai baada ya kutamka sentensi mbili tatu tu, sentensi hizo zimehamisha kabisa mjadala uliokuwa unahusu wahuni na Ky uliokuwa ukimhusisha Polepole kiasi kwamba alikuwa akianzishiwa nyuzi kila baada ya nusu saa huku.

Kwa sasa hakuna anayemjadili tena Polepole, sasa hivi ni spika tu!
Sasa hili hili la spika kupotea na kusahauliwa muda si mrefu kuna mtu mwingine ataibuka na sentensi zake mbili tu, kuhusu ishu flani hivi na hakuna atakayekumbuka tena maneno ya spika! Uwanja utahamishwa rasmi.

Hii nchi system ipo kazini masaa 24, inatokea tu linaandaliwa tukio from nowhere mtu anatoa boko hata kanisani, mjadala unahama.
 
Sekeseke la Polepole lilitrend sana na kuteka mitandao yote ya kijamii, lakini ikumbukwe la Polepole lilikuja kimkakati kuzima sekeseke lingine lililokuwa limeshika hatamu hapo kabla!
Sasa Spika, Job Ndungai baada ya kutamka sentensi mbili tatu tu, sentensi hizo zimehamisha kabisa mjadala uliokuwa unahusu wahuni na Ky uliokuwa ukimhusisha Polepole kiasi kwamba alikuwa akianzishiwa nyuzi kila baada ya nusu saa huku!
Kwa sasa hakuna anayemjadili tena Polepole, sasa hivi ni spika tu!
Sasa hili hili la spika kupotea na kusahauliwa muda si mrefu kuna mtu mwingine ataibuka na sentensi zake mbili tu, kuhusu ishu flani hivi na hakuna atakayekumbuka tena maneno ya spika! Uwanja utahamishwa rasmi…,
Hii nchi system ipo kazini masaa 24, inatokea tu linaandaliwa tukio from nowhere mtu anatoa boko hata kanisani, mjadala unahama!
1640966334225.jpg
 
Na hapa ndipo ninapowaheshimu Wataalam/Mafundi wa kucheza na AKILI za watu.

Yaani mbongo ukitaka asijadili movie iliyopo mbele yake muwekee screen nyingine Pembeni halafu washa movie nyingine, faster ataachana na ya kwanza na kuhamia screen ya pili.

Ukiona napo haangalii kwa utulivu basi weka Screen ya tatu nyuma, haki ya Mungu atageuka na kuzipa kisogo movie za mwanzo ambazo hazijaisha.

Wanazuoni hebu fanyeni Research kubaini vyakula vyenye athari ktk ubongo na kumbukumbu. Kama sio mafuta basi tuangalie vyakula vingine vinavyotumiwa na jamii zote maana KARIBIA WOTE TUNAFANANA TU
 
Research itasema watz wale vichwa vya samaki.,,
 
Watanzania bado hatujitambui na kujiongeza katika matukio ya kuundwa,sijui tumerogwa na nani aisee?

Unakuta mtu anaacha kufanya maisha yake anafuatilia ujinga tu!!
 
Siyo watz, hata duniani yapo mengi sana yakuundwa na pindi yanapoibuka ni lazima yateke attention ya kila mmoja!
Hii ni taaluma kabisa yani….
 
Gwajboy atatrend soon, then spika anapotea yaani!!!
 
Hii nchi bhana, yaani sekeseke moja likiibuka njia ya kulizima ni kuanzisha sekeseke lingine, na hapo macho, masikio, akili na mijadala inahamia kwenye hilo jipya na watz walivyo wasahaulifu wanahama jumla!

Sekeseke la Polepole lilitrend sana na kuteka mitandao yote ya kijamii, lakini ikumbukwe la Polepole lilikuja kimkakati kuzima sekeseke lingine lililokuwa limeshika hatamu hapo kabla.

Sasa Spika, Job Ndungai baada ya kutamka sentensi mbili tatu tu, sentensi hizo zimehamisha kabisa mjadala uliokuwa unahusu wahuni na Ky uliokuwa ukimhusisha Polepole kiasi kwamba alikuwa akianzishiwa nyuzi kila baada ya nusu saa huku.

Kwa sasa hakuna anayemjadili tena Polepole, sasa hivi ni spika tu!
Sasa hili hili la spika kupotea na kusahauliwa muda si mrefu kuna mtu mwingine ataibuka na sentensi zake mbili tu, kuhusu ishu flani hivi na hakuna atakayekumbuka tena maneno ya spika! Uwanja utahamishwa rasmi.

Hii nchi system ipo kazini masaa 24, inatokea tu linaandaliwa tukio from nowhere mtu anatoa boko hata kanisani, mjadala unahama.
Tunatest mitambo tu kwa ajili ya kumpopoa mama samia wakati ukifika muda siyo mrefu waziri mkuu atatesti mitambo naye utasikia mama pa kama ndugai alivyo fanya pa kwa mama
 
Back
Top Bottom