Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Leo tarehe 29 Desemba, 2018 nilifika gereza la Segerea kwenda kuwatembelea na kuwafariji Mhe. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, na Mhe. Esther Matiko, Mbunge. Nimewakuta wote wawili wako imara na hawana wasiwasi kuwa haki itaishinda dhulma inayotendwa na watawala dhidi yao.
Nimeitumia fursa ya kuonana na Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Esther Matiko kuwaeleza kuhusu#AzimiolaZanzibar na mikakati ya vyama sita vya siasa kurudisha demokrasia Tanzania. Mhe. Mbowe amenambia yuko pamoja na sisi na akitoka tu gerezani ataungana nasi kuendeleza atakapopakutia.
Nimeitumia fursa ya kuonana na Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Esther Matiko kuwaeleza kuhusu