Seif Sharif Hamad afanya mahojiano na Aljazeera kuhusu hali ya kisiasa nchini

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Katibu Mkuu wa CUF,Seif Sharif Hamad amefanya mahojiano na kituo cha television cha Aljazeera ambao ameongelea hali ya kisiasa hapa nchini na hususa Muswaada wa Vyama vya Siasa ambao ameuelezea kama ni "ploy" wenye lengo la kutaka kudidimiza uwanja wa kufanya siasa hapa nchini.

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.

Swali:Aljazeera nao ni mabeberu au wanatumwa na mabeberu?
 
downloadfile-6.gif
 
Tanzania ikiwemo Unguja Na Pemba Ni Mamlaka Kamili sio koloni wala Jimbo la Aljazeera, CNN wala BBC

Kama kuhojiwa Na Mashirika makubwa ya Habari ndio kupata Madaraka akina Tshangirai wa MDC Kule Zimbabwe wasingekufa wakiwa Wapinzani,

East Africa kuna Mpinzani kahojiwa Kama Raila Odinga?

walifikia mpaka hatua ya kualikwa Kwenye MikutanO ya Jumuia ya Madola wa Wakuu wa Nchi

Wasubiri Wazalendo wote tufe libaki Taifa la Mamluki watupu ndio Vibaraka wa Mabeberu wanaweza kutawala sio vinginevyo
 
Bahati mbaya kwake wenziwe wameanza kuupongeza. Wanadai waliyokuwa na wasiwasi nayo yamerekebishwa😁😁
 
Katibu Mkuu wa CUF,Seif Sharif Hamad amefanya mahojiano na kituo cha television cha Aljazeera ambao ameongelea hali ya kisiasa hapa nchini na hususa Muswaada wa Vyama vya Siasa ambao ameuelezea kama ni "ploy" wenye lengo la kutaka kudidimiza upinzani nchini.

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.

Swali:Aljazeera nao ni mabeberu au wanatumwa na mabeberu?
Hivi mpaka leo hujui Aljazeera ilianzaje..!!! Mbona hawaendi kuhojiwa na CCTV ya China? au RT ya Russia?
 
Ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka, chezea amani kama shilingi chooni, majuto mjukuu tuweni makini na michezo michezo
 
Tanzania ikiwemo Unguja Na Pemba Ni Mamlaka Kamili sio koloni wala Jimbo la Aljazeera, CNN wala BBC

Kama kuhojiwa Na Mashirika makubwa ya Habari ndio kupata Madaraka akina Tshangirai wa MDC Kule Zimbabwe wasingekufa wakiwa Wapinzani,

East Africa kuna Mpinzani kahojiwa Kama Raila Odinga?

walifikia mpaka hatua ya kualikwa Kwenye MikutanO ya Jumuia ya Madola wa Wakuu wa Nchi

Wasubiri Wazalendo wote tufe libaki Taifa la Mamluki watupu ndio Vibaraka wa Mabeberu wanaweza kutawala sio vinginevyo
Mabeberu ni nani hasa!naona picha mbilimbili hawana vinasaba na wafadhili au wadau wa naendeleo wanao support budget mpaka kukanga vyoo au wawekezaji tuliowapa migodi na viwanda vya umma chini chama cha kizalendo bila maslahi . huku viuno vinakatwa na makofi wawa pale udhaifuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu Mkuu wa CUF,Seif Sharif Hamad amefanya mahojiano na kituo cha television cha Aljazeera ambao ameongelea hali ya kisiasa hapa nchini na hususa Muswaada wa Vyama vya Siasa ambao ameuelezea kama ni "ploy" wenye lengo la kutaka kudidimiza uwanja wa kufanya siasa hapa nchini.

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.

Swali:Aljazeera nao ni mabeberu au wanatumwa na mabeberu?
2019 ni mwaka ulioteuliwa na Mungu kama mwaka wa mapambano ya Demokrasia , subiri moto zaidi
 
Tanzania ikiwemo Unguja Na Pemba Ni Mamlaka Kamili sio koloni wala Jimbo la Aljazeera, CNN wala BBC

Kama kuhojiwa Na Mashirika makubwa ya Habari ndio kupata Madaraka akina Tshangirai wa MDC Kule Zimbabwe wasingekufa wakiwa Wapinzani,

East Africa kuna Mpinzani kahojiwa Kama Raila Odinga?

walifikia mpaka hatua ya kualikwa Kwenye MikutanO ya Jumuia ya Madola wa Wakuu wa Nchi

Wasubiri Wazalendo wote tufe libaki Taifa la Mamluki watupu ndio Vibaraka wa Mabeberu wanaweza kutawala sio vinginevyo
Kama usemayo ni kweli wasiwasi kila mahali toka Lumumba had I Ikulu na Bungeni wa mini? Wachaneni na mabeberu wasije wakawapandeni.
 
Tanzania ikiwemo Unguja Na Pemba Ni Mamlaka Kamili sio koloni wala Jimbo la Aljazeera, CNN wala BBC

Kama kuhojiwa Na Mashirika makubwa ya Habari ndio kupata Madaraka akina Tshangirai wa MDC Kule Zimbabwe wasingekufa wakiwa Wapinzani,

East Africa kuna Mpinzani kahojiwa Kama Raila Odinga?

walifikia mpaka hatua ya kualikwa Kwenye MikutanO ya Jumuia ya Madola wa Wakuu wa Nchi

Wasubiri Wazalendo wote tufe libaki Taifa la Mamluki watupu ndio Vibaraka wa Mabeberu wanaweza kutawala sio vinginevyo
Hii nchi siyo ya wasukuma peke yao, ichi hii ni ya watanzania wote,tena makabila mengine yameumia sana juu ya ukomboz wa nchi hii, endeleen kugawana madaraka kwa kigezo cha uzalemdo kumbe ni wezi wakubwa, mna miaka mitatu tu tln 1.5 imepotea, et na nyie wazalendo
 
Wasubiri vibaraka wa jiwe wajifie ili wazalendo wa ukweli wachukue nchi.
Naona lugha ya kiswahili inakusumbua ndiyo maana nimekuwekea vizuri
Tanzania ikiwemo Unguja Na Pemba Ni Mamlaka Kamili sio koloni wala Jimbo la Aljazeera, CNN wala BBC

Kama kuhojiwa Na Mashirika makubwa ya Habari ndio kupata Madaraka akina Tshangirai wa MDC Kule Zimbabwe wasingekufa wakiwa Wapinzani,

East Africa kuna Mpinzani kahojiwa Kama Raila Odinga?

walifikia mpaka hatua ya kualikwa Kwenye MikutanO ya Jumuia ya Madola wa Wakuu wa Nchi

Wasubiri Wazalendo wote tufe libaki Taifa la Mamluki watupu ndio Vibaraka wa Mabeberu wanaweza kutawala sio vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi siyo ya wasukuma peke yao, ichi hii ni ya watanzania wote,tena makabila mengine yameumia sana juu ya ukomboz wa nchi hii, endeleen kugawana madaraka kwa kigezo cha uzalemdo kumbe ni wezi wakubwa, mna miaka mitatu tu tln 1.5 imepotea, et na nyie wazalendo

Mie sio Msukuma wala sina Nasaba Na Wasukuma Ila Naunga Mkono Awamu ya Tano kwa Mabadiliko makubwa Kwenye Nyanja zote
 
Maskini, mbona wenzake na Edward N Lowasa wanamuacha nyuma? Lissu huyo akigombea urais, 2020, Maalim Seif yuko nyuma yake akigombea Zanzibar, sasa Mh. Lowasa atagombea wapi na lini? Ufipa patachimbika mwaka huu wallah!
 
Back
Top Bottom