Seif na Amani walikaa kuangalia hatma ya Z’bar na kizazi cha Mzanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Seif na Amani walikaa kuangalia hatma ya Z’bar na kizazi cha Mzanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Feb 10, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0  Written by amini // 10/02/2011 // Habari // No comments

  Kwa nini ndugu x2 Dr Slaa na Jk wasikae pamoja wakarudisha Tanganyika na katiba ya Tanganyika iliopotezwa na Mwalim Nyerere?
  Mimi nashangazwa na policy za Chadema kugombana na Cuf Z’bar kwa kunda Serekali ya Suk. Waliokaa pamoja na kupitisha wazoo la kundwa Serekali ya Suk Zanzibar ni Wazanzibar wenyewe yani Mh Amani Karume na Mh Seif Sharif wote hawa ni Wzanzibar na katiba ya Zanzibar ya 1984 inaruhusu hilo na wanainchi walitowa mkono wa baraka kwa kura ya maoni ya wzanzibar kwa hatma ya Nchi yao na kizazi chao.
  Kwa hio na Chadema wana haki ya kutumia udugu wao wa ki-Tanganyika kukaa ndugu wawili kuangalia hatma ya nchi yao na kizazi chao cha ki-Tanganyika ambacho kina asili na historia ya nchi yao kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  Sisi Wazanzibar hatuna shida na hilo, hata mukisema Muungano Basi,basi sisi hatuna shida na tutawaombea urafiki mwema na tuishi ujirani mwema kama Kenya na Uganda tulivyo.
  Munahaki ya kufufua asili ya nchi yenu Tanganyika na kuishi bila mivutano ya Muungano ya Zanzibar itakuwa hakuna kelele za pande mbili kuwa yupi anamyoya mweziwe ? Huu Muungano umekosa uhalali pale kuto kulizwa wahusika wa pande mbili yani WaZanzibar na WaTanghanyika kuwa muna taka kuungana? Na jambo jengine ni kuliwa Watanganyika utaifa wenu wa Tanganyika na Mwalim Nyerere na katiba ya nchi yenu. Mungu ibariki Tanganyika irudi na katiba ya Tanganyika.

  [​IMG]Makubaliano ya SUK ni hatma ya Z'bar na kizazi chake.
   
 2. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,189
  Likes Received: 1,907
  Trophy Points: 280
  Hapa hakuna ugomvi kati ya CDM na cuf;
  Bali cuf inavuna ilicho panda imepanda bange sasa inataka ivune zaituni abadani haitawezekana.

  CDM nina hakika they have a plan muda utasema.
  Sema Inshaalah.

  Ninakuunga mkono hasa pale uliposema,
  'Hata mkisema muungano basi' Kwa kweli dalili zinaonyesha mko tayari kwa hilo
  Naomba wazenj Watusaidie hili kama kweli unacho ongea sio unafiki na istizai;
  1Muombeni hr apeleke hoja binafsi bungeni Kwamba wazenj hatukubali serkali moja na hizi mbili, kero imezidi hivyo basi tuwaulize wen/nchi hatma ya muungano!
  2Kama hakieleweki wabunge wote wa nchi jirani ya zenj tokeni bungeni mara2 mara ya tatu wafunge virago warudi zenj.
  mkifanya hivyo mmewasaidia wa tg na serkali yenu ya umoja itadumu la sivyo utakapo ijua ghilba ya ccm utakuwa imesha kula kwako!

  IDUMU Tg IDUMU Zenj
   
 3. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  kinacho wala chadema kiko nguoni mwao,mchawi wa chadema sio hamadi rashid mwenye nchi yake na katiba ya nchi yake, mchawi ni juliasi nyerere alipo jifanya master mind kuwa aiuwe zanzibar ktk deep sea lakini mungu alimlani alikufa yeye mwenyewe kwa ukanda wa jeshi na kuiuwa tanganyika na kuwafanya watanganyika hawana nchi yao ya asili wala historia ya nchi yao na kubaki mayatima wa sera za ccm. Mungu ibariki zanzibar na wazanzibar.
   
 4. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,189
  Likes Received: 1,907
  Trophy Points: 280
  Mla kala leo mla jana kala nini?
  Achana na nyerere; Wafu hawana nafasi kati ya walio hai! Kila nafsi itaonja umauti wewe hujui utakufa kifo gani
  unaweza ukabakwa mpaka ufe tuombe kifo chema tu.

  Unaeleza uchawi kwenye nyumba ya wachawi!
  CDM IPO GADO IS UDVANCING TO CONTACT Naomba dua mMungu akuweke hai uyaone kwa macho yako vitu vya CDM!

  Hamkani si shwari tena. historia itasema
  nguvu ya mtu hailiwi kula uliwe. Mmesha mshika mkono kipofu na kipofu mwenyewe ana wazimu.

  Maana mchuma janga hula na wanawe.
  Nasema tena mtakapo ijua ccm basi itakuwa la kuvunda, halina ubani imesha kula kwenu!

  "T A N G A N Y I K A "
   
Loading...