Seif Maalim - CUF kaanguka jana Dar Airport

Pole sa Maalim Seif, M/Mungu akupe nafuu haraka katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Hata hivy kumbuka umri nao unasogea magharibi,

Mods, hii sio tetesi tena, labda heading irekebishwe kisha ipelekwe kwenye Jukwaa la Siasa.
 
Back
Top Bottom