Elections 2010 Seif kuapishwa na Shein

muchetz

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
943
732
Naomba kupata ufafanuzi hapa. Hivi kwanini Seif aliapishwa na Shein? Je inawezekana shein akamfukuza umakamu Seif? Hicho cheo cha seif kinampa wajibu gani katika serikali (SMZ)? na katika SMT seif atapata treatment gani(mfano akija Dar)?
 
Seif kuapishwa na Dr Shein si sahihi. Ni sawa na mikataba ya kina Karl Peters
 
Hivi ngoja niulize hapa kwani JK alimwapisha Dr Bilal?, Ninavyojua mimi kulikuwa hakuna haja ya Shein kumteua Seif kama makamu wa kwanza kwani katiba ya Zanzibar inaweka wazi kuwa mtu wa pili kwenye uchaguzi ni makamu, hivyo basi Seif si mteule wa Shein bali yupo kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar kwani Shein alikuwa hana option yoyote ya kuteua mtu zaidi ya Seif katika nafasi ile. Haya yote ni mazagazaga ya kumdidimiza Seif na kuonesha kuwa Shein is in Command na anaweza kumfukuza Seif which is wrong. Maana akifanya hivyo inakuwa amevunja katiba aliyoapa kuilinda
 
Mbona hata alituma maombi kwa shein kuomba umakamu,hata ilo ni la hajabu!
 
Naomba kupata ufafanuzi hapa. Hivi kwanini Seif aliapishwa na Shein? Je inawezekana shein akamfukuza umakamu Seif? Hicho cheo cha seif kinampa wajibu gani katika serikali (SMZ)? na katika SMT seif atapata treatment gani(mfano akija Dar)?

Kama Shamsi vuai Nahodha. Ndiyo kashika umakamu badala ya waziri kiongozi! Jina tu wamebadilisha kutoka waziri kiongozi kuwa makamu wa rais.
 
Hivi ngoja niulize hapa kwani JK alimwapisha Dr Bilal?, Ninavyojua mimi kulikuwa hakuna haja ya Shein kumteua Seif kama makamu wa kwanza kwani katiba ya Zanzibar inaweka wazi kuwa mtu wa pili kwenye uchaguzi ni makamu, hivyo basi Seif si mteule wa Shein bali yupo kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar kwani Shein alikuwa hana option yoyote ya kuteua mtu zaidi ya Seif katika nafasi ile. Haya yote ni mazagazaga ya kumdidimiza Seif na kuonesha kuwa Shein is in Command na anaweza kumfukuza Seif which is wrong. Maana akifanya hivyo inakuwa amevunja katiba aliyoapa kuilinda

Umesahau kuwa CUF haipo tena kwenye ulimwengu wa siasa? Watamkumbuka Hamad Mlo na Mapalala.
 
mnawaonea wivu na muafaka wao? si ndivyo walivyokubaliana kwenye muafaka? na mabadiliko ya katiba si yanasema hivyo? seif aringe? wakati anashukuru kimoyomoyo angalau sasa atabadili mboga hadi anaenda kaburini? thubutu!!
 
Seif, Cuf, Lipumba.........KWISHNEY. Wameingizwa kwenye 18 za Chama Cha Majangili (wa uchumi) ndo hawatoki ng'o!
 
Muafaka wa CUF na CCM ni janja ya CCM na ni wa kienyeji kwa sababu hakuna namna unaweza kutambulika kisheria kimataifa. Katiba ya Zanzibar nayo ni ya kienyeji kwani Zanzibar haitambuliki kimataifa kama nchi, ni ndani ya Tanzania tu haya mambo yanapowezekana. Baada ya Seif kumkubali na kumtambua Shein kama mshindi halali leo hii CCM ikiamua kutokuheshimu huo muafaka CUF wajue hawana chao. Ni uroho na upofu wa CUF tu ndio uliowafanya waingie kwenye mtego wa CCM bila kushtukia athari ya hayo makubaliano yasiyokuwa na mfanowe popote ulimwenguni. Wameliwa !
 
Kamwapisha, na hata akilikoroga anafukuzwa mbwa mtoto!! Tamaa itamponza.
 
Sometimes sheria inpindishwa ili kulinda madaraka ya watu.
Hii ndio Afrika bana.
 
Back
Top Bottom