Seif Bampiriki, Katibu wa chama cha Rwanda National Congress kinachoongozwa na Jenerali Kayumba Nyamwasa auawa nchini Afrika Kusini leo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Ni Huzuni, majonzi & mshtuko

Mratibu wa Chama cha Rwanda National Congress (RNC) nchini Afrika ya Kusini ameuawa akiwa Cape Town.

Mwendazake Seif Bamporiki ameuawa kwa kupigwa risasi (silencer) leo Februari 21, 2021 majira ya 7:30 PM kwa saa za Afrika Kusini.

Chama cha RNC kinaongozwa na Mpinzani mkubwa wa Rais Paulo Kagame Jenerali Kayumba Nyamwasa kikiwa na makao makuu yake nchini Afrika Kusini.

Mwendazake jana Februari 20, 2021 alishiriki kikamilifu kwenye sherehe za kumbukumbu ya Wanachama wa RNC waliopoteza maisha yao katika mazingira ya "kutatanisha".

Source: Various sources from Rwanda/ South Africa.
 
Sema Kagame atasingiziwa mengi, saa ingine hata hahusiki kabisa lakini sababu ya mitazamo tuliyojijengea juu yake inafanya jumba bovu kumwangukia kila wakati.
 
the man was in target kitambo,sema kagame alikuwa anabalance hesabu zake kwanza.kagame anakikosi chake Fulani Cha mabint ni hatari,ukiwaona tabasamu zao wapole na walembo kweli,lakn ni danger Sana .wakikuweka kwa target hawakukosi.huyu jamaa wanyarwanda kumtoa hawawezi tena, wasubili kudra za Mungu am restishe in piece.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Slim kama Slim! Hana haya, na hakuna wa kumkemea!
Shi*hole countries! I miss u Trump!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
the man was in target kitambo,sema kagame alikuwa anabalance hesabu zake kwanza.kagame anakikosi chake Fulani Cha mabint ni hatari,ukiwaona tabasamu zao wapole na walembo kweli,lakn ni danger Sana .wakikuweka kwa target hawakukosi.huyu jamaa wanyarwanda kumtoa hawawezi tena, wasubili kudra za Mungu am restishe in piece.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Jamaa kumbe hatari hivi
 
Back
Top Bottom