Seif atoa masharti ya kurejea CCM

Lawson

Member
Sep 25, 2007
69
4
Samahani wakuu ngoja kwanza nimalizie kucheka maana nimeisoma hii habari kwenye Nipashe ya trh 12/10/07 imeniacha hoi kweli kweli. okay ngoja uhondo kwa kukandamija habari kamili (kicheko kimeisha)

Katibu mkuu wa chama cha Wananchi CUF amesema atarejea kwenye chama tawala cha CCM kama atapewa nafasi ya kuwa Makamu wa rais na kuitisha kwa uchaguzi ndani ya miezi mitatu na kuwa rais wa Muungano. (kicheko kinaendelea)

Alisema kama CCM itakuwa tayari kufanya mambo hayo yuko tayari wakati wowote kuanzia sasa kurejea kwenye chama hicho kwa vile atatekeleza ahadi aliyoitoa kwa wananchi ya kuwaletea maendeleo.

Aliyasema hayo wakati akiongea na Nipashe kwenye kumbukumbu ya kifo cha Nyerere. Aliendelea kusema kuwa hajui ni lini atajiuzuru siasa maana mpaka sasa hajawatekelezea wananchi aliyohaidi, ambayo ni kuleta mabadiliko kiuchumi na kisiasa.

mzee ameongea mengi ila hayo ndiyo niliyo yaona kuwa niyamsingi, natumaini sitahukumiwa kwa maneno niliyo acha ambayo siyo ya msingi. haya kazi kwenu kumchambua mimi nimemaliza. ( ngoja nimalizie kicheko maana huo mtihani mgumu inabidi Shein atolewe kafala halafu afuate JK sijui kama inawezekana but I believe below the sun nothing is impossible)
Naomba kutoa hoja waheshimiwa....wana.....JF
 
kumaanisha CUF imekwisha, na wataanza upyaaaaaaaa ! heheee, bado Mbowe ! kwanza mbowe nae atachoshwa weeeeee kama akina lipumba na seif then nae atasema vichekesho vyake !
 
My take,
Kwa vile hilo ni jambo ambalo haliwezekani, basi hawezi rudi CCM!
 
..seif kaamua kutoa ndogo ndogo za idd sio!
 
kumaanisha CUF imekwisha, na wataanza upyaaaaaaaa ! heheee, bado Mbowe ! kwanza mbowe nae atachoshwa weeeeee kama akina lipumba na seif then nae atasema vichekesho vyake !

naomba kukupinga mkuu

mie sio mwana chadema ila namwona mbowe ni mwanamikakati na hana papara kama za wengineo ambao wanaamini bila wao hakuna mageuzi...

Seif amesema hayo akijua kuwa hana nia ya dhati kurejea ccm maana hayo anayoyasema ndiyo anayosimamia na kupigania all way. labda mvua inyeshe katikati ya kiangazi....
 
I TOLD YOU GUYS CUF WANAJIMALIZA WANAHITAJI KULETA VIJANA ...UNAJUA KURUDI CCM KUNAAZA NA WAZO..kufikiria tu ni dalii.sembuse kuongelea..na kutoa masharti hata yakiwa magumu namna gani..ni dalili ya pili kuwa unaweza kurudi ..na kwa daliili hii hata usiporudi labda kwa kuhofia aibu..unabaki ccm kiimani...kwa hiyo huwezi kuwa kiongozi wa upinzani bora kubakia mwanachama tu!!!

kwanini CUF mlikubali hadi katibu wenu mkuu akalilie mafao ..kwani mliandamana na kuuliwa ili SEIF arudishiwe visenti vyake vya mafao ya waziri kiongozi???CUF NI CHAMA KIKUBWA hakishindwi kumpa seif hayo mafao ..ili kuondoa udhaifu wa kusaliti damu za wenzenu kwa ajili ya mafao tu....kwani kwenye hayo maongezi ya muafaka zaidi ya mafao ya seif mmepata nini..labda na posho za wajumbe wanaohudhuria vika...ale mashaidi wenu walioouliwa wangewaona ..wangewatia bakora asilani!!!

mwenyekiti wenu kashahongwa kazi kwa pendekezo kupitishwa na sereikali kupata kazi UNO....vijana hamuoni tu!!!
 
Samahani wakuu ngoja kwanza nimalizie kucheka maana nimeisoma hii habari kwenye Nipashe ya trh 12/10/07 imeniacha hoi kweli kweli. okay ngoja uhondo kwa kukandamija habari kamili (kicheko kimeisha)

Katibu mkuu wa chama cha Wananchi CUF amesema atarejea kwenye chama tawala cha CCM kama atapewa nafasi ya kuwa Makamu wa rais na kuitisha kwa uchaguzi ndani ya miezi mitatu na kuwa rais wa Muungano. (kicheko kinaendelea)

Alisema kama CCM itakuwa tayari kufanya mambo hayo yuko tayari wakati wowote kuanzia sasa kurejea kwenye chama hicho kwa vile atatekeleza ahadi aliyoitoa kwa wananchi ya kuwaletea maendeleo.

Aliyasema hayo wakati akiongea na Nipashe kwenye kumbukumbu ya kifo cha Nyerere. Aliendelea kusema kuwa hajui ni lini atajiuzuru siasa maana mpaka sasa hajawatekelezea wananchi aliyohaidi, ambayo ni kuleta mabadiliko kiuchumi na kisiasa.

mzee ameongea mengi ila hayo ndiyo niliyo yaona kuwa niyamsingi, natumaini sitahukumiwa kwa maneno niliyo acha ambayo siyo ya msingi. haya kazi kwenu kumchambua mimi nimemaliza. ( ngoja nimalizie kicheko maana huo mtihani mgumu inabidi Shein atolewe kafala halafu afuate JK sijui kama inawezekana but I believe below the sun nothing is impossible)
Naomba kutoa hoja waheshimiwa....wana.....JF

Inamaana yeye nia yake ni kuingia ikulu na si kingine? Kwa hiyo anakubaliana na sera na ila za CCM za uchaguzi as long as mashariti yake magumu yatatekelezwa? Mimi nadhani angepingana na sera na si kuingia tuu ikulu. Atoe mashart ya CCM kubadili ilan yake ya uchaguzi na sera zake ili ziwe sawa na za KAFU ili ajiunge nao. Kweli nimeamini KAFU wamekwisha kama ni hivi inamaana huyu jamaa akihongwa umakamu wa rais atawasaliti wana KAFU na ataanza kutekeleza sera za CCM. Any wenye jasiri haachi asili kwani nae alikuwa mmoja wao na wanasema nyumba ya makumbusho haibomolewi. Ameaanza kidogo kusema na baadae atatekeleza tena bila ya mashart yeyote.
 
I believe hii ni propaganda ya kui weaken CUF, it is unthinkable for seifu kurudi CCM, he is a formidable force Zanzibar na anajua ana support kubwa kuliko hata Abeid
 
Mkuu yes it is unthinkable na itakuwa unbelivable. Unajua hawa jamaa wengi wanaganga njaa na sio wanaenda pale kwasababu ya uchungu na wananchi masikini au maendeleo duni (hii nafananisa na article moja ya : A struggle for power and a people betrayed) na kweli itashangaza na wengi hawataamini Jamaa akirudi. mimi binafsi mwanzo nilikuwa namwamini sana Juma Haji Duni na Jamaa mmoja wa Lindi (anaitwa Mkuki wa Moto) jamaa ni albino kuliko hata Seifu ila kwa sasa sijui CUF wako je sijafuatilia siasa zao.
 
mimi binafsi mwanzo nilikuwa namwamini sana Juma Haji Duni na Jamaa mmoja wa Lindi (anaitwa Mkuki wa Moto) jamaa ni albino kuliko hata Seifu ila kwa sasa sijui CUF wako je sijafuatilia siasa zao.

Kwani sasa hivi Juma Haji Duni yuko wapi? Au naye amerudi CCM? Maana najua huyo jamaa alinyanyaswa sana na Salmin na yeye alikuwa mmoja wa wakuu wa CUF
 
Yeah jamaa alikuwa radical sana na nadhani bado yupo CUF. Huyu jamaa nadhani alikuwa msemaji mkuu wa CUF na pia Naibu Katibu Mkuu wa CUF Visiwani bila kukosea nadhani pia Bw. Juma Haji Duni alikuwa Mbunge wa Mkunazini nadhani bado anashikilia hizo nafasi
 
yeye kama kiongozi wa chama hakustahili kusema huo utumbo,tatizo sio kwenda ikulu,kwani ikulu kuna nini?Mbona hawa viongozi wetu wanachanganya mambo,.....
 
Ikulu ndio kuna mambo yote. Lengo la chama chochote cha siasa ni kukamata dola, kikiweza kufanya hivyo ndio kinaweza kutekeleza sera zake, kwa hiyo jamaa wanavyozungumzia ikulu sioni kama vibaya, ila wananchi ndio wanaopaswa kuamua kama wanasthili kwenda Ikulu au la. Na Zanzibar wananchi mara zote wanaonesha kuwa CUF inaweza kushika dola na CCM inaweza kushika dola, uchaguzi mara nyingi unakuwa close, japo CUF huwa wanarushwa kiaina.
 
Hivi ukimpata raisi wa chama fulani kwa sababu watu wanampenda yeye kama mtu binafsi na then wabunge wote au majority wa kiwa wapinzani ni nini kitatokea? Nakumbuka Shizo Abbe wa japan baada ya chama chake kupoteza viti vingi aliachia ngazi.

Yes kuwa ikulu is necessary condition but not sufficient na sidhani ni sahihi kwa hilo la kukimbilia huko. Na hakika wapinzani wakifanikiwa kuwa na viti vingi bungeni tutaona mabadiliko makubwa kuliko wakiingia ikulu. Unajua kwanini? Kwasababu walioko ikulu watakuwa wanastrugle kubaki huko na huku wapinzani wakiwa wanawasukuma sasa hapo mambo yataenda safi sana.
 
Ikulu ndio kuna mambo yote. Lengo la chama chochote cha siasa ni kukamata dola, kikiweza kufanya hivyo ndio kinaweza kutekeleza sera zake, kwa hiyo jamaa wanavyozungumzia ikulu sioni kama vibaya, ila wananchi ndio wanaopaswa kuamua kama wanasthili kwenda Ikulu au la. Na Zanzibar wananchi mara zote wanaonesha kuwa CUF inaweza kushika dola na CCM inaweza kushika dola, uchaguzi mara nyingi unakuwa close, japo CUF huwa wanarushwa kiaina.

Najua ikulu ndo kuna mambo na uozo wote,kwa hiyo leo hii akiambiwa awe rais kupitia ccm na akakubali,mie nitamuona msaliti wa chama chake,maana ataenda kuendeleza yale aliyokua anayapinga,kubali kuwa ccm sio mtu mmoja,ukishakubali kula nao sahani moja basi,watakupeleka kama wanavyotaka.Nasisitiza tatizo sio kwenda ikulu,tatizo ni unafuata nini ikulu na unaenda kwa style gani ikulu,sio tu mwenyekiti wa chama kikubwa kama CUF ambacho watu wamewahi kupoteza maisha kwa ajili yake,anakurupuka kusema kama ccm watampa umakamu wa rais atarudi,it sounds crazy to me.
 
Siku nyingi mie nilishamuona huyu ni msanii tu. Kimya chake kimekuwa ni kirefu mno na hata baadhi ya wanachama wa CUF walikuwa hawamtaki kama kiongozi wao. Sitashangaa kama akirudi CCM. CCM sasa imeyumba sana hasa bara kwa magoli waliyojifunga yenyewe hivyo wakiweza kumrudisha huyu jamaa basi watapata nafasi ya kutanua angalau kwa muda mchache, kwa bara Maalim Seif hana umaarufu mkubwa hivyo hili halitashtua sana watu.
 
ofcourse hizo conditions alizotowa hazitekelezeki kwa maana hiyo hatoweza kurudi ccm lakini kama kiongozi wa upinzi aliyoyasema ni utumbo!
anashusha hadhi yake yeye na hadhi ya chama. kwanza i think its about time he steps down.
 
Hatuna upinzani wa kweli, kwenye vyama tunashindanisha sera na sio watu. Sera za CCM zime prove failure then maalim seif anataka kurudi CCM kisa apewe umakamu wa rais na baadae urais, unbeleavable!!!!

Maalim seif hayupo upinzani kwa ajili ya kupigania maslahi ya wananchi bali ilikuwa kutafuta daraja la kuingia ikulu. sasa ameona haiwezekana ameanza kuota kurejea CCM. What type of this thinking, haiingi akilini hata kidogo.

Kauli kama hii ya Maalim seif, ina impact kubwa sana kwa CUF na nafikiri ametumiwa na CCM kudhoofisha kambi ya upinzani. Kumbukeni hii inafuatia taarifa ya vyombo vya habari majuzi kuwa karume na seif wataunguruma idd maeneo tofauti.

Kuna kitu kikubwa kinakuja, subirini mtajionea wenyewe. CUF sasa basi.
 
Jamani mimi nilivyomuelewa Seif anaonyesha ni jinsi gani ilivyongumu kwake kurudi CCM. Hapa alikuwa anawachemsha CCM. Hivi nani atakubaliana na mashariti hayo.

Ni kwamba hakuna na hivyo kutomfanya kurudi CCM.
 
Back
Top Bottom