Samahani wakuu ngoja kwanza nimalizie kucheka maana nimeisoma hii habari kwenye Nipashe ya trh 12/10/07 imeniacha hoi kweli kweli. okay ngoja uhondo kwa kukandamija habari kamili (kicheko kimeisha)
Katibu mkuu wa chama cha Wananchi CUF amesema atarejea kwenye chama tawala cha CCM kama atapewa nafasi ya kuwa Makamu wa rais na kuitisha kwa uchaguzi ndani ya miezi mitatu na kuwa rais wa Muungano. (kicheko kinaendelea)
Alisema kama CCM itakuwa tayari kufanya mambo hayo yuko tayari wakati wowote kuanzia sasa kurejea kwenye chama hicho kwa vile atatekeleza ahadi aliyoitoa kwa wananchi ya kuwaletea maendeleo.
Aliyasema hayo wakati akiongea na Nipashe kwenye kumbukumbu ya kifo cha Nyerere. Aliendelea kusema kuwa hajui ni lini atajiuzuru siasa maana mpaka sasa hajawatekelezea wananchi aliyohaidi, ambayo ni kuleta mabadiliko kiuchumi na kisiasa.
mzee ameongea mengi ila hayo ndiyo niliyo yaona kuwa niyamsingi, natumaini sitahukumiwa kwa maneno niliyo acha ambayo siyo ya msingi. haya kazi kwenu kumchambua mimi nimemaliza. ( ngoja nimalizie kicheko maana huo mtihani mgumu inabidi Shein atolewe kafala halafu afuate JK sijui kama inawezekana but I believe below the sun nothing is impossible)
Naomba kutoa hoja waheshimiwa....wana.....JF