Sehemu zilizo na wazawa kuendelea ni ngumu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kila mtu anafahamu kuhusu wazawa. Asilimia kubwa ya sehemu za wazawa ni walewale tokea eneo hilo kuanzishwa.

Sehemu zilizo na wazawa maendeleo huwa ni magumu sana,mazoea yaliyo ptiliza,kutokubali kubadilika,kubebana hata kama kakosea mzawa.

Wazawa asilimia kubwa ni wababe kwenye sehemu. Wazawa hawapendi mabadilko,waharibifu ndio chimbuko kufanya wajinga na watu wa wasio na maamuzi.

Tuje kwenye mada kwa nini wazawa kuwa ni sifa hizi!

A ni yetu mzawa nayetaka kumueleza ni huyu aliye madarakani na chama chake.

Tokea kupata uhru mpaka mda huu ni mzawa tosha kabisa
 
Nenda Uchagani uone maendeleo,yanayoletwa na wao wenyewe.

Kinachofanya sehemu iendeleee ni fulsa zilizopo na wenyeji walivyojipanga kuendeleza sehemu yao.

Kemebos,green acres,Kaizilege,hizi zote ni English medium school,zimeanzishwa Kagera na Wahaya,ni best school,nyingine Zina matawi Mikoa mingine. Unasemaje bila wageni sehemu haziwezi kuendelea?
 
Mimi ninachojua ni kua sehemu ambayo chama cha mapinduzi kina nguvu huwa duni sana.

Kielimu,kiuchumi,kimakazi nk !!

Fanyeni utafiti mtajua
 
Kuna baadhi ya mikoa ikiwemo PWANI maendeleo hamna kabisaa yan wapo wazawaa tu.. mgeni ukija na jambo loko unapigwa Zongo adi unakimbiaa yan
 
Kila mtu anafahamu kuhusu wazawa. Asilimia kubwa ya sehemu za wazawa ni walewale tokea eneo hilo kuanzishwa.

Sehemu zilizo na wazawa maendeleo huwa ni magumu sana,mazoea yaliyo ptiliza,kutokubali kubadilika,kubebana hata kama kakosea mzawa.

Wazawa asilimia kubwa ni wababe kwenye sehemu. Wazawa hawapendi mabadilko,waharibifu ndio chimbuko kufanya wajinga na watu wa wasio na maamuzi.

Tuje kwenye mada kwa nini wazawa kuwa ni sifa hizi!

nchi ni yetu mzawa nayetaka kumueleza ni huyu aliye madarakani na chama chake.

tokea kupata uhru mpaka mda huu ni mzawa tosha kabisa
Siasa again
 
Nenda Uchagani uone maendeleo,yanayoletwa na wao wenyewe.
Kinachofanya sehemu iendeleee ni fulsa zilizopo na wenyeji walivyojipanga kuendeleza sehemu yao.
Kemebos,green acres,Kaizilege,hizi zote ni English medium school,zimeanzishwa Kagera na Wahaya,ni best school,nyingine Zina matawi Mikoa mingine?unasemaje bila wageni sehemu haziwezi kuendelea?
Pia sehema zenye imani za kishirikina maendeleo huwaa duni
 
Kila mtu anafahamu kuhusu wazawa. Asilimia kubwa ya sehemu za wazawa ni walewale tokea eneo hilo kuanzishwa.

Sehemu zilizo na wazawa maendeleo huwa ni magumu sana,mazoea yaliyo ptiliza,kutokubali kubadilika,kubebana hata kama kakosea mzawa.

Wazawa asilimia kubwa ni wababe kwenye sehemu. Wazawa hawapendi mabadilko,waharibifu ndio chimbuko kufanya wajinga na watu wa wasio na maamuzi.

Tuje kwenye mada kwa nini wazawa kuwa ni sifa hizi!

nchi ni yetu mzawa nayetaka kumueleza ni huyu aliye madarakani na chama chake.

tokea kupata uhru mpaka mda huu ni mzawa tosha kabisa
Hiyo ni kwa mikoa ya Pwani,Dar na Morogoro.maeneo mengibe yanaendelea,ukienda njombe wageni ni ngumu kuendelea,wanaoendelea ni wazawa

so hoja yako siyo sahihi generally
 
mkikaa watu wengi ambao mmetokea sehemu moja kuendelea ni ngumu mno kunakuwa na unafki,ujinga,vijicho vya kijinga na ulimbukeni mob.
 
Kila mtu anafahamu kuhusu wazawa. Asilimia kubwa ya sehemu za wazawa ni walewale tokea eneo hilo kuanzishwa.

Sehemu zilizo na wazawa maendeleo huwa ni magumu sana,mazoea yaliyo ptiliza,kutokubali kubadilika,kubebana hata kama kakosea mzawa.

Wazawa asilimia kubwa ni wababe kwenye sehemu. Wazawa hawapendi mabadilko,waharibifu ndio chimbuko kufanya wajinga na watu wa wasio na maamuzi.

Tuje kwenye mada kwa nini wazawa kuwa ni sifa hizi!

A ni yetu mzawa nayetaka kumueleza ni huyu aliye madarakani na chama chake.

Tokea kupata uhru mpaka mda huu ni mzawa tosha kabisa
Umenikumbusha lindi mweee
 
Back
Top Bottom