Sehemu za viungo vya mwili zinadunda mithiri ya mapigo ya moyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sehemu za viungo vya mwili zinadunda mithiri ya mapigo ya moyo!

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Apr 7, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huwa inatokea na kuacha na kurudia tena unakuta kwamfano mkononi au mguuni kunakuwa na sehemu inadunda ka mapigo ya moyo na mara nyingine kwa force iliyozidi kwa muda flani inaweza kuwa mara moja au kwa kurudiarudia hivi kitaalamu hili swala lipo vipi msaada plz!
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Huenda unagusa sehemu ambapo kuna mishipa ya damu imepita ndani ya mwili kwenye viungo, mikononi na miguuni pia
   
 3. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,642
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Mimi mwenyewe inanitokea sana,nimeelewa
   
 4. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jaribu kuanglia thyroid hormones, fanya MRI,CT, ANA na mengineyo.
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  tofauti na nyinyi mimi nimeona kama mara mbili kwa ng'ombe akichinjwa basi sehemu fulani ya nyama inakuwa ikitikisika au sijui niseme ni kusisimka
   
 6. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hapana ni kwamba hiyo ni tofauti siyo kwamba unakoncentrate katika sehemu hyo no ni kwamba sehemu hyo inadunda na kushtua lazma utashtuka tu hali inapoanza kwan hata ukiweka mkono unapata mtikisiko.
   
 7. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Ni mapepo fulani hivi ...
   
 8. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mh!!!?
   
 9. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunahitaji sababu ya kisayansi na sii ya upepo,
   
Loading...