Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa kutumia Harrier yangu kutoka Dom.
NMC.......lakini angalia usije ukarudi na mimba....Nakushauri usije huku tutakugeuza maana huku hatuhitaji ma-rambuza, Pili umeshasahau kuwa jumatatu ijayo ni ile siku yako ya kutembea uchi kama ulivyoahidi?
I thought you are kinda modern, kumbe uko old-fashioned sana!...Du!Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa kutumia Harrier yangu kutoka Dom.
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa kutumia Harrier yangu kutoka Dom.
Unataka uje kunusanusa nini huku wewe?Tuipotezee hiyo issue ya Harrier, ni sehemu gani Arusha nzuri kwa kujiachia?
Tuipotezee hiyo issue ya Harrier, ni sehemu gani Arusha nzuri kwa kujiachia?
Tuipotezee hiyo issue ya Harrier, ni sehemu gani Arusha nzuri kwa kujiachia?
kafikie kanisani anakosali mwakasege.
Wote mliochangia hii thread nadhani ni aina ya wale watu wasiopenda kutumia vichwa kufikiri. Mtu kama Pakajimmy ni moderator lakini anashiriki kuongea pumba kama vilaza wengine. Mambo ya kushangaza kabisa haya.