Sehemu za ukweli Arusha

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa lifti ya helikopta ya Mbowe kutoka Dom.
 
Nakushauri usije huku tutakugeuza maana huku hatuhitaji ma-rambuza, Pili umeshasahau kuwa jumatatu ijayo ni ile siku yako ya kutembea uchi kama ulivyoahidi?
 
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa kutumia Harrier yangu kutoka Dom.

Unajipongeza kwa ushindi upi mkuu,...sehemu mzuri arusha zipo kibao sema hatutakujuza maake unaonekana una masifa ya kijinga...ukija na hiyo harrier yako unayoiona ya maana huku arusha kuna hammer kibao za kukodi_hivyo nakushauri uiache hiyo harrier yako utapata usafiri mzuri zaid wa kuzunguka nao mjini....karibu sana arifu/njereee
 
kwa vibaraka kama wewe haina ya kujitangaza kuwa unaenda sehemu we nenda kimya kimya tu...
 
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa kutumia Harrier yangu kutoka Dom.
I thought you are kinda modern, kumbe uko old-fashioned sana!...Du!
 
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa kutumia Harrier yangu kutoka Dom.

Harrier yenyewe ni model ya 1999, inatoa Moshi kama vile inawaka. Acha gari lako hukohuko njoo na mtei express usituchafulie Geneva of africa. Perfume na Vipodozi utavipata hapo S-H HArmon- sokoine Road. karibu kingaste, usisahau kuniPM
 
hahaha,harrier yako inatumia nishati gani eti? nataka nikuelekeze pa kuipata...manake huku kuna machalii na sio masela
 
Tuipotezee hiyo issue ya Harrier, ni sehemu gani Arusha nzuri kwa kujiachia?
 
Tuipotezee hiyo issue ya Harrier, ni sehemu gani Arusha nzuri kwa kujiachia?
Unataka uje kunusanusa nini huku wewe?
Watu wengine nyie ni wavurugaji wa starehe za watu!
Unakuja kuwafundisha sarakasi watakaogombea udiwani wa hizi kata 4 nini?
 
Tuipotezee hiyo issue ya Harrier, ni sehemu gani Arusha nzuri kwa kujiachia?

Ndio ujifunze kwamba masifa mengine ni ujinga,ungesema ninakuja na gari private ungeeleweka mkuu...o.k_arusha ni mji wa kitalii tofauti kabisa na dom hivyo unatakiwa uwe na mshiko wa kutosha,..kama vip bora usitie mguu unaweza angukia pua na masifa yako
 
Click google utajua kila kitu:::Halafu huna pesa kabisa wewe yani ujawahi fika arusha haaaaa njoo huku ukatane na mafogo wa ukweli::::: Papa King,Masawe,Askofu,mrema,kimeta,sunda etc
 
kafikie kanisani anakosali mwakasege.

Aje ashukie hapa Kanisani tumfanyie maombi, na kumywesha maziwa kuondoa sumu mbaya na chafu ya Magamba aliyonyeshwa. Ila tutampa ushauri kwamba akijitangaza tu anaweza asirudi Dom kwani watu huku wana zero tolerance na CCM
 
Jombaaa kumbe we mtoto wa shamba eeh!
Njoo tu kama unatafuta mapacha arifu!
 
Wote mliochangia hii thread nadhani ni aina ya wale watu wasiopenda kutumia vichwa kufikiri. Mtu kama Pakajimmy ni moderator lakini anashiriki kuongea pumba kama vilaza wengine. Mambo ya kushangaza kabisa haya.
 
ooooh kaoge baaaab! tatizo ulianza kwa bwe bwe ooh harrier ukaona watu wa arusha washaaaamba...!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom