Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Kwa wenyeji wa mkoa wa Kigoma, ni maeneo gani ya kula bata pande hizo hasa kwa siku kama jumatano na ijumaa?
Vijana wa Bavicha baada ya mikutano ya Slaa kudoda mnaamua kujirusha viwanja tu!!!
Rudini Dar tu kama safari imechina...