Sehemu za starehe Kigoma

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
69
Kwa wenyeji wa mkoa wa Kigoma, ni maeneo gani ya kula bata pande hizo hasa kwa siku kama jumatano na ijumaa?
 
Vijana wa Bavicha baada ya mikutano ya Slaa kudoda mnaamua kujirusha viwanja tu!!!

Rudini Dar tu kama safari imechina...
 
Mambo ya vyama sipo wakuu.tunaangalia fursa.Tanzania kubwa.Daah kitimoto hapana kamanda labda migebuka.
 
Back
Top Bottom