Ntakuepo kuanzia mida ya saa 2yani wewe mtu wa tatu unaniajia hapo. Umeshafika au utakuwepo?
ahahhaaMasihara haya...mbona mapema? au ngoma ya mtoto haikeshi?
coz am happyHaya wacheka ni?
Mziki mzuri mkubwa Sana eneo kubwa pamechangamka sio kama uko kwingine na bei zao za kawaida Sana pamaoja na kwamba ni p.a. kibaba mnoMziki mzuri, mkubwa, pamechangamka? Nishawishi mkuu
EweMasihara haya...mbona mapema? au ngoma ya mtoto haikeshi?
Mziki mzuri, mkubwa, pamechangamka? Nishawishi mkuu
Ww pweMasihara haya...mbona mapema? au ngoma ya mtoto haikeshi?
Pa "kibabe" huduma sio rojorojo ni za high quality na ma zingira mazuri sanaumenichanganya hapo pa kibaba, una mana gani chief?