Sehemu za kubarizi Mwanza usiku

faabroz

JF-Expert Member
May 26, 2009
286
69
Nimekuja Mwanza nimekuja kupunga upepo na kuangalia sehemu nzuri ya kubarizi usiku huu /kwenye twiga niwasalimie kidogo ugeni nao kazi, lakini pia mchana maeneo gani mazuri.
 
Kama ni kubalizi nenda mwaloni ila kama ni kutumia pesa nenda club 55 uka enjoy ze land
 
Back
Top Bottom