Sehemu yenye chakula kizuri na mandhari nzuri Dar es Salaam

naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
253
213
Habarini wana ndugu,

Nataka kujua eneo/ sehemu nzuri ya kula chakula (inayopika chakula kizuri) na kwenye mandhali nzuri iliyotulia.

Ningependelea zaidi maeneo hayo yawe kuanzia Mwenge kuelekea Makumbusho au Mwenge kuelekea Ubungo,

Naomba mwenye kujua anijuze wakuu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.

Asanteni
 
Wazee wa viwanja mkuje hapa.

Wakati nasoma kuna kipindi nikafumua hela yote ya matumizi, katka ku-survive nikagundua chimbo moja kule Keko ndani ndani hukoo unapata ugali na mboga kama tano hivi kwa Tsh 300.

Jamaa yangu akaona nafaidi sana akaniiga,
Tulimbeba kwenye torori. Huko tumboni ukisogeza sikio ni kama yale ma gari ya kuchanganyia zege. Njia ya chumbani to toilet iligeuka Mandela Road.
 
Kuwa serious mkuu, usidhani kila mmoja amemaliza kufanya paper za form four jana
Mkuu, kwangu hicho ni chakula kizuri sana. Na nimeeleza wazi kwamba kwa huko Daslam, hakuna ninapo pafahamu.
Ebu sasa naomba uniambie vigezo ulivyo tumia kunitazama kana kwamba I'm not serious!
Ama ulitaka nipakuwe mtandaoni mapicha ya Pizzas, Bagga, Biriani nk ili nikufurahishe kwa kuziambatanisha kwenye huu uzi wako?
 
Food Point, Kinondoni; La Chaz, Sinza; News Cafe karibia na Collosium, Mamboz, Masaki.
 
wazee wa viwanja mkuje hapa.....

Wakati nasoma kuna kipnd nikafumua hela yote ya matumizi, katka ku survive nikagundua chimbo moja kule keko ndani ndani hukoo,
unapata ugali na mbg km tano hv kwa tsh 300,
jamaa yng akaona nafaidi sana akaniiga tulimbeba kwenye torori....
Huko tumboni ukisogeza sikio n kama yale ma gari ya kuchanganyia zege.....
Njia ya chumbn to toilet iligeuka mandela road.

Hahhahah...nimecheka kwa ngv jamani🤣🤣!u made my day jamani
 
wazee wa viwanja mkuje hapa.....

Wakati nasoma kuna kipnd nikafumua hela yote ya matumizi, katka ku survive nikagundua chimbo moja kule keko ndani ndani hukoo,
unapata ugali na mbg km tano hv kwa tsh 300,
jamaa yng akaona nafaidi sana akaniiga tulimbeba kwenye torori....
Huko tumboni ukisogeza sikio n kama yale ma gari ya kuchanganyia zege.....
Njia ya chumbn to toilet iligeuka mandela road.

Hahahah
 
Back
Top Bottom